-->

USHAURI TU WA BURE KWENU MABINTI.

nyieee mabinti mnao toka vijijin kuja mjini kutafuta maisha alafu ukapata neema ya wokovu mjini ukipata mchumba jitahidi kuwa mkweli kama kijijin kwenu uliacha mtoto ila kwasababu ya maisha umekuja mjini kutafuta na umewah kuolewaa mara tano uko kijijin kwenu mwambiee mkaka wawatu ajueee kuliko ukajifanya ujawai kufanya mambo hayooo kumbe umeacha watoto kijijin kwenu huyoo mwanamme akijua ukweli aiseee cjui itakuwaje maana wanaume mioyo sio kama yenu 😂awajuagi kusamehe kabsa ohoooo
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU