-->

NITAENDELEA KUWASHAURI WANAUME WENYE AKILI KUBWA KUWAOWA WANAWAKE WENYE WATOTO NA KUWAFANYA KUWA MABOSS LADY.

Image may contain: 2 people, people standingKumuowa mwanamke aliyetekelezwa na mtoto hakutatufanya tuonekane ni 'wapumbavu' maana 'wapumbavu' ni wale waliokimbia na kutelekeza damu na kukwepa majukumu yao wakati mbegu walipanda wao wenyewe.
.
Mnichukie tu lakini nasema sisi tutawaowa, tutawapenda, tutawafanya wawe ma-boss lady kwa kuwa mliowakimbia hamkuthamini michango na maarifa walizojaaliwa kuwa nazo.
.
Watoto wataniita Daddy huku wewe wakikuita Uncle na hakika watafurahia na kuhuzunika kwamba, kwa nini lakini walichelewa kunifahamu.
.
Kimsingi, watakula "bata kama kawaida kwa sababu ninajua nini maana ya kuzaa na kulea watoto".
Hakuna mwanamke mwenye akili kubwa ya maisha kama aliyesusiwa mtoto na kumlea katika mazingira magumu,huyo ni mashine nyingine kabisa.

Ukimdaka na kujua namna ya kumtumia vizuri huwezi jutia maamuzi yako,kwanza hana muda wa kucheza na pesa sijui kwenda kujirusha nk.
Yeye anawaza maendeleo basiiiii.
.
Kabatani ka Volyiumu kameng'oka. Nimeshindwa kupunguza volyiumu.
.
Am sorry kama nimewakwaza ðŸ¤”
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU