Watu wengi wana-fake life!
Na ukitaka kuchunguza maisha yao wanakukwepa ili usije ona mateso yao, Kwa macho na masikio yako utasikia WALIVYO FANIKIWA KUWA NA MAHUSIANO AMA NDOA NJEMA japo kwa uhalisia sio kama wanavyoonekanaππ
Paa za nyumbaπ zimesitiri watu wengi sana, Unakuta Mtu ameolewa na anaishi kwa msemo wa AFADHALI YA JANA ila akitoka nje utadhani hana matatizoπ€
nawe usivyo na akili UNAMWAGA MATATIZO YA NDOA YAKO HAPO ukiamini utapata suruhisho la matatizo yako kumbe unayemwambia matatizo yako ni MSIRI yake haweki hadharani ila anayo makubwa kuliko ya kwakoπ
Mahusiano ama ndoa ni jambo la watu wawili, Mtu wa tatu hana nafasi na kama atakuwepo basi hapashwi kuwa SABABU YA MAELEWANO YENU kwani ninyi ndo mtajua MAKOSA NA KUYASAHIHISHA kuliko kuyaweka wazi kwa Mtu kama mkishindwa wenyewe mnalo jukumu la KUPEANA NAFASI MPYAπ―
Mahusiano au Ndoa ni zao la MAPENZI hivyo ifahamike kama ulivyo usiri wa FARAGHA ndivyo anapashwa kuyalinda mahusiano na ndoa yakoπͺ
Wewe hujui lini aligombana na MWENZA wake ila wewe hata ukikosa mboga tu kiguu na njia kuanika ya kwako, Janga hili ni lenu wanawake kwani ukikuta Mwanaume ametoa siri ya mkewe ujue huyo ni FALAπ
Wanawake mnaangamia kwa kukosa MAARIFA kwani unakwenda kwa Mwanamke mwenzio kunadi ubaya wa mumeo na hapo ndipo atatofautisha ubaya wa Mumewe na Mumeo usije shangaa akamtaka mumeo kwani wako ameonekana ana nafuu kwani Matatizo yanatofautiana kulingana na uhitaji wako mwenyewe, na hapo ndo chanzo cha kuimba kale ka wimbo ka #Shaa;
• SHOGA YANGU HATA WEWEEEEE♪♫♬