-->

MARA NYINGI MWANAUME MWENYE SHAUKU YA MKE HUMCHUKUWA MWANAMKE BILA KUTAZAMA UCHAKAVU WAKE💯

UKIMUONA MWANAMKE AMESHIKAMANA MAHALA... - Elista Relief of HEART ...
Asilimia kubwa ya WANAUME wasokuwa na UPENDO WA DHATI huogopa kummiliki Mwanamke wa kumtengeneza awe kwa muonekano autakao ila wanapenda zaidi walojitengeneza ama walotengenezwa na Mwingine.
Ili Mwanamke awe kwa MATAMANIO ni lazima aendane na vile Mwanaume mmoja mmoja anakuwa anahitaji muonekano wake na hilo ndilo limewafanya wanaume kutojua tofauti ya UPENDO NA TAMAA💯
Mwanaume mwenye UPENDO ndiye hachagui Mwanamke kwani anakuwa anajua ndani ya Mwanamke huyo kuna UBORA AMBAO UMEFICHWA NA MAISHA MAGUMU APITIAYO MWANAMKE HUYO maana kila Mwanamke ni mzuri kwa Mwanaume wa chaguo lake.
Lakini wale wasio na UPENDO ila wana TAMAA hao ni woga kumtengeneza Mwanamke, Wao wanapenda vilivyo tayari vimependeza au kupendezeshwa na hao ndo huendana na MATOLEO YA WANAWAKE kamwe hawatosheki kuangalia angalia ili kukidhi tamaa zao, Kama Mwanaume akikuchukuwa kwa mtazamo wa UZURI AMA UREMBO niamini kuna Mwingine atakuja machoni mwake atakuzidi kiwango, ila kama Mwanaume akikuchukuwa bila kutazama hali yako MHESHIMU HUYO ANA MALAIKA NDANI YAKE💪
Wanaume wa sasa wanaogopa VICHAKAVU hata kama wao ni CHAKAVU kwani wanahitaji Mwanamke aliyekamilika ili AMKAMILISHE NA YEYE😅😅
Mheshimu Mwanaume anayetaabika kutwa akitafuta hakika ya wewe kuwa MALKIA KWENYE KASRI LAKE huyo ndiye KIDUME hata unapobeba mimba yake hujutii kusema NINA MUME📌
Sio hawa wanaopenda VYAKULA VITAMU NA NGUO ZA GHARAMA huku wakisubiri Mwanamke anunue kisa tu MHOGO WA JANG'OMBE😎
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU