-->

HIVI UNAJUA KWAMBA KUKUTANA KIMWILI SI KWA KUJIFURAHISHA TU, KILA UNAYEKUTANA NAYE KIMWILI KUNA SEHEMU YAKE INABAKI KWAKO IT IS SPIRITUAL BOND SOUL TIE, SOMA ZAIDI HAPA UELEWE


MADE IN TANZANIA!!! – Nuru The Light

Kukutana na mtu kimwili si kwa kujifurahisha tu is a Spiritual bond soul tie.Watch who you lay down with , Kila unayekutana naye kimwili kuna sehemu yake inabaki kwako, Ndiyo maana unaweza ukakuta watu wengine are miserable,wakatili,wengine ni kama mashetani kabisa , Hii ni kwasababu kuna roho wachafu wengi ndani yao
Jambo tusilolijua ni kuwa Njia rahisi ya kusambaza mapepo kwa mtu ni kukutana na mtu huyu kimwili, imagine wewe una maroho ya kwenu ,maroho ya vizazi n.k una kutana na mwanaume au mwanamke naye ana maroho ya kwao hivyo unamwambukiza maroho naye anakuambuzi maroho, imagine kama wewe ni mwanaume na una wanawake watano na wote mnakutana kimwili hii inamaana ndani ya nafasi yako kuna wanawake watano angalia maroho hawa wanawake waliyonayo kila mmoja atakuwa na maroho ya kwao hivyo ni rahisi wewe kuwa na maroho mengi zaidi... Ni wanaume / wanawake wangapi unao ndani yako?Kila mmoja unayekutana naye kimwili anaacha sehemu yake ndani yako.... Wengi wetu tunafikiri kukutana kimwili ni kwa kujifurahisha tu, lakini hatuelewi kukutana kimwili out of marriage is the greatest covenant that you can ever think of.

BONYEZA HAPA KUPAKUA APP YA UTAMU KITANDANI UJIFUNZE MENGI KUHUSU MAPENZI 
Kukutana na mtu kimwili nje ya ndoa linaambukiza mapepo kuliko unavyoweza kufikiri . Siyo jambo lakucheza nalo.
Kukutana kimwili ni soul bound huwa nafsi za wahusika zinafungwa pamoja ndiyo maana ni rahisi kukuta mtu alikuwa tajiri lakini baada ya kukutana na mtu kimwili akaanza kuporomoka , au mtu alikuwa vizuri kiroho lakini anapokutana na mtu kimwili ghafla anashuka.Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu destiny ya mtu au kuharibu nyota ya mtu.Kukutana kimwili ni link rahisi ya kiroho ya kuchua nyota ya mtu au kuchukua kibali cha mtu.
Mindful of what / who your letting enter you....Every person you lay with deposits and leave a part of his/ her soul in you
Kukutana kimwili ni spiritual bond kwa sababu ya conection ( muunganiko ) unaotokea wakati wa tendo lenyewe.. Do you ever wonder what your soul looks like to God?Kukutana kimwil does more to the body than the eyes can see,Be carefully who and what you allow your soul tie to.
SHARE TO SOMEONE!ajifunnze


BONYEZA HAPA KUPAKUA APP YA UTAMU KITANDANI UJIFUNZE MENGI KUHUSU MAPENZI 
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU