-->

FAIDA ZA KUBADILI STAILI ZA MAPENZI WAKATI WA TENDO LA NDOA


Kuna baadhi ya wapenzi, tangu walipoanza kujihusisha na tendo la ndoa, ni staili moja tu ndio wanaijua (ile ya enzi za mababu).
Yaani inafikia kipindi hadi unakuta raha ya mapenzi inapotea kabisa, hauna hamu na mpenzi wako kwa kuwa mnachokifanya kila siku ni kilekile.
Sasa kuna faida 5 za kubadili staili za mapenzi wakati wa tendo la ndoa.
1. KUTOCHOKANA KIMAPENZI
Kubadili staili kunaweza kuwafanya mjione wapya kila siku katika mapenzi. Hamu ya mapenzi haiwezi kukata iwapo kuna ubunifu wa staili kati yenu wapenzi kila siku.
Staili ya mapenzi inaweza kuwa kama zawadi ya kushtukiza (suprise) kwa mpenzi wako. Wakati yeye kazoea staili fulani pekee anakutana na staili ya kipekee ambayo hakuwahi kuitegemea kutoka kwako na kukufanya avutiwe zaidi na wewe.
2. KUNOGESHA ZAIDI PENZI
Kila staili ya mapenzi ina utamu wake hivyo kama unatumia staili moja tu ya mapenzi basi tambua kuna radha lukuki unazikosa.
Kila staili hugusa maeneo tofauti na hivyo kuufanya mwili uipokee raha katika hali tofauti tofauti.
3. KUDUMU ZAIDI KATIKA TENDO
Hii ni taarifa nzuri kwa wale wadau wangu ambao wanawahi kufika kileleni. Kubadili staili ni njia nzuri ya kuepuka fedheha za kumaliza tendo la ndoa ndani ya muda mfupi.
Kubadilisha staili kunaijenga saikolojia yako na kumaliza kiwewe cha kukufanya umalize tendo haraka. Kiufupi kubadili staili kutakufanya ujihisi unaanza upya tendo jambo ambalo litafanya kiu ya kumaliza mapema ikate.
4. KUPUNGUZA UCHOVU
Kama huwa unajihisi kuchoka sana wakati wa tendo la ndoa basi kubadili staili inaweza kuwa njia mojawapo ya kuongeza pumzi na kuondoa aina yoyote ya uchovu ambao unakukosesha hamu ya kuendelea na tendo la ndoa.
FAIDA YA TENDO LA NDOA KWA WANANDOA.
Kufanya mapenzi angalau mara tatu kwa wiki kunapunguza uwezekano wa kupatwa Heart Attack (Shambulio la Moyo) kwa 50% ukilinganishwa na yule ambaye anapitisha wiki nzima bila kufanya tendo.
Pia utafiti unasisitiza ya kwamba mwenye kufanya Mapenzi kila siku anaondoa uwezekano wa kupata Heart Attack kwa Asilimia 100% (vyema kushiriki tendo kama misingi ya dini yako inaruhusu sio kufanya zinaa)
>>Kiafya
Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili. Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu
atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75.
>>Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani.
>>Kuongeza mwendo wa damu.
Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji.
>>Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili.
>>Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol)
Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini.
>>Kupunguza maumivu
Wakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa.
>>Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini. Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara.
>Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate.
>Kupunguza mfadhaiko wa moyo
>
>>>Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini. Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi.
>>Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume (testosterone) na za kike (Oestrogens)
Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi. Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo.
>>Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijana wakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka.
Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular).
Hupunguza baridi na mafua.
Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa.
Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa.
NB: Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa hivyo ni vyema kuzingatia misingi ya ndoa na imani ya dini yako.....
Unakwama wapi linapokuja suala la tendo la ndoa!?
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU