-->

MWANAUME KAMA UNATAKA KUDUMU KATIKA MAHUSIANO NA MCHUMBA/MKE WAKO EBU JARIBU YAFUATAYO:



Mbinu za Kutongoza: 2019
💚Jifunze kusamehe madogo madogo
💚Jifunze kuomba msamaha
💚Chunguza na ujue kitu gani anapenda zaidi ufanye au umfanyie ILI UFANYE UYAFANYE pia Chunguza ni mambo gani anachukia ukiyafanya au ukimfanyia ILI UYAEPUKE
💚Acha tabia za kitoto kama unazo
💚Usipende kuwa bize saana kuchati wakati upo nae
💚Epuka kumdanganya mara kwa mara
💚Pendelea kumpa zawadi ndogo ndogo mf. Hata hereni za elfu 1
💚Mueleze ndoto zako na mipango yako ya baadae kwake
💚Punguza hasira za mara kwa mara
💚Mfanye afurahi anapokuwa nawe sio unakuwa sura mbuzii tu.
🔥AYO NI BAADHI TU ILA YAPO MENGI
👉👉ILA KUMBUKA SIO KILA MWANAMKE UTADUMU NAE HATA UKIFANYA YOTE HAYO. KWA SABABU WANAWAKE WENGINE HUWA NA TABIA ZISIZOWEZA KUVUMILIKA KAMA VILE KUDANGA N.K
🙏🙏🙏Nashukuru kama umenielewa🙏🙏🙏
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU