-->

HIVI NDIVYO EX ANAVYOGEUKA MCHEPUKO WA MKEO


Ex-salama mambo
Salama-poa tu nani
Ex-aah ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa.
Salama-hayo hayakuhusu sema we nani.
Ex-mi kibonde
Salama-jamn mzima wewe za siku
Ex-nzur tu nimekumiss.
Salama-we si uliniacha bwana...
Ex-hapana hujajua tu ninavyoumia hasa nilivyosikia umeolewa.
Salama-ndio hivyo ningefanyaje sasa
Ex-bado unaishi kwenye moyo wangu.
Salama-mmh asante
EX-Niko tanga kwenu.
Salama-mmh kweli umefikia wapi.
Ex-lodge tu nimekuja kwenye seminar mara moja ..lodge flan huku chuda
Salama-haya bhna karibu kwetu.
Ex-mmh namuogopa mumeo
Salama-hofu yako tu
Ex-njoo hata unisalimie jamani.nimekumiss sana.
Salama-mmh wa kunimiss ntakuwa mimi.
Ex-Niamini bado nakupenda naomba uje.
Salama-mmh kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
Ex-poa saa ngap.
Salma -Anaenda kazini asubh ko mi ntatoka saa nne.
Ex-poa ntakuambia chumba nilichopo.
Salama-wee siingii lodge mimi..mi mke wa mtu usijisahaulishe
Ex-please sitakufanya chochote ..siwez kukuforce kitu usichopenda kufanya niamini.
Salama-wee ndio munasemaga hivyo hivyo
Ex-please siwez niamini
Salama-sawa lakini sitakaa sana....story tu sitaki mambo mengine.
Ex-poa usijar mamy.
Salama-sawa .
Hivi ndivyo ma ex wanavyoharibu ndoa za watu/mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE UMEKWISHA NDUGU YANGU.....ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke matuared!!!......fuatiliaa hii
BAADA YA KUONANA HIYO KESHO
salma-ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex..sijapenda kiukweli
EX-Nisamehe wangu..nilishindwa si unajua tuliko toka..asante nimeenjoy sana
Salama-sijapenda unadhani mume wangu akijua ntafanyaje
EX-HAawez jua atajuaje sasa!!
Salama-jua hivyo tu....usitume text amekuja...
Ex-poa usiku mwema.
BAADAYE BAADA YA MWANAUME KUONDOKA
Salama-nambie
EX-poa kaondoka
Salama-ndio ila akija ntakuambia.
Ex-poa ila mi naondoka kesho kutwa uje uniage.
Salma-ntaangalia asipokuwepo.
Ex-mmh ko akiwepo
Salama-mmh sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu ntakuja ila sitakaa
Ex-sawa..nakupenda sana
Salama-nakupenda pia ila usirudie kuniumiza.
Ex-sitaweza dear!!!
*Hivyo ndivyo mwnaamke akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka!!!kumbukumbu zikirusdishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego!!! Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka sita mwanaume asijue!!...., dada heshimu ndoa yako!!huyo ex angekuwa anakupenda sana angekuoa basi, !!anarudi sababu umeolewa anajua hutamsumbua atakuwa mpigaji tu na hakuna mapenzi hapo...!!!!na wewe mwanaume anayetembea na mke wa mtu kisa ex wako ..fikiria tu mkeo ww ndio anakufanyia hivyo!!maumivu utayoyapta ndio atayopitia mume wa ex wako akijua!!when goes around comes arounds unayomfanyia mke wa mwenzio hata mkeo anafanyiwa hivyo hivyo sema hujui tu!!hakuna ubaya unaoenda bure...Amini..@kibonde
Share hii....watu wapone
Counsellor
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU