π₯Tenga dakika 5 uamkapo na 5 kabla ya kulala fanya hayo mazoezi yaliyopo pichaniπ
π₯Badili mtindo wa maisha (Life style) Kama ni mlevi, mvutaji, unakula vyakula vya mafuta sana, mda mwingi unamawazo n.k NI VYEMA UKIYAEPUKA MAMBO HAYO
π₯Kunywa maji mengi, (Chukua Tangawiz + kitunguu swaum + Asali mbichi. Chukua Tangawiz saga kwa brenda pamoja na kitunguu swaumu vikishasagika vizuri changanya na asali lamba kijko kimoja asubuh na kimoja kabla ya kulala.
.π₯Epuka punyeto, kutazama picha + video za ngono, Epuka sex chart na wanawake ambao upo mbali nao,