ππΎWanaume wengi huwa na utabiri wa kupata mambo mazuri kutoka kwa Wake wao wakiwa vitandani mwao, ni mara chache tu au ni wachache ambao huwa na fikira tofauti. Wanachotaka ni tendo la ndoa katika maisha yao ambacho ni sehemu ndogo tu katika mambo mengi yanayotakiwa kufanywa.
βChumba cha kulala Mume na Mke sio mahali Watu wawili kuogopana. na hapa kuna vitu hawa Mume huvipenda.
βοΈKukuona Mke Unavyotathimini.ππ
Wanawake hupenda kufanya mwendelezo, na kama huwezi wao wanaweza , lakini wanakuwa hawajui jinsi ulivyo na hamu. haijalishi unafurahiaje joto kama huoni sex inakuwa imeshaanza.
βοΈ.Anapenda Kuona Mke Uamevaa nguo Husika.ππ
Wengi huvutiwa na nguo hizo, ingawa zitavuliwa na kutupwa chini, zinakuwa hazina faida baada ya muda. tunalifahamu hilo na bado Wanawake hupenda kuzivaa.
βοΈUonyeshoππ
Usipumbazike na Wanaume wa kwenye T.v, movies, wanaovamia na kuonekana wako tayari muda wote, ukweli ni kwamba tunapenda kujengwa taratibu na kusogezwa karibu, kwa njia ya kukumbatiana na kubusiana na kushikana shikana , tunapenda. na sex nzuri ni ile ya wote kuridhiana.
βοΈ Vitendo.ππ
Haiwezekani Wanandoa kuwa na tabia kama vile si wamoja. kuacha sehemu moja tu kujishughulisha, mwingine asubiri tu kumezwa sio vizuri, kwa hio usiogope badilisha mambo, Sex bila kupenya, au sehemu nyingine kama sebuleni au bafuni vyote hivyo vinafanyika kwa kudhamilia.
Lakini uwe na uhakika wa usalama na usafi sehemu hiyo ya tukio , na iwe ni sehemu nzuri sio ya kuumiza.
βοΈMazungumzo (Maneno) ya kunyegeshaπ
Katika mambo wapendayo kuongea kitandani ,ni kuongea maneno ya mahaba kitandani mkiwa wawili, kutaja sehemu za mwili ambazo huwezi kuzitaja hadharani. Nadhani mwanielewa nisemayo
βοΈ.Kusikia Jina Lake.ππ
Hakuna kitu kizuri apendacho kama kusikia jina lake, tumia hio hila kwa faida yako.
βοΈ.Usalama .ππ
Nyinyi ni Mume na Mke na inawezekana wote mmepima Kabla hamjaoana , Lakini huu ndio UKWELI tupu π wa Neno la MUNGU kuhusu Tendo la NDOA katika Waebrania 13:4 "Ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe Safi,
Kwa maana waasherati na wazinzi MUNGU atawahukumia adhabu ."
Usalama ni kulisikia Neno la MUNGU π na KULITENDA
YESU π Alisema haya kuhusu Mtu anayelisikia Neno alafu halitendi ." Na kila asikiaye hayo maneno yangu asiyafanye , anafananishwa na mtu mpumbavu , aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga ,
π mvua ikanyesha
πmafuriko yakaja
πpepo zikavuma
Zikapiga nyumba ile (NDOA ILE) , ikaanguka ;
nalo anguko lake likawa kubwa .
Usalama haupo nje ya maagizo ya Neno la MUNGU π , na Usalama ni KUYATENDEA kazi maagizo /maneno ya YESU kuhusu Tendo la NDOA , na maeneo yote ya maisha yenu katika NDOA na Familia kwa ujumla ,"Basi kila asikiaye hayo maneno yangu , na kuyafanya , atafanishwa na mtu mwenye akili , aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba ;
πmvua ikanyesha
πmafuriko yakaja
πpepo zikavuma
Zikapiga nyumba ile (NDOA ILE) , isianguke ; kwa maana misingi yake imewekwa juu ya mwamba.
Usalama upo nyumbani mwa ndoa ILIYOJENGWA juu ya mwamba ambaye ni YESU π Mathayo 7:24-27
Mumeo atatongozwa nje huko kazini , lakini maombi yako ni usalama tosha , jinsi Uhusiano wako na MUNGU π ni usalama tosha , jifunze kuwa na MAWASILIANO ya kudumu na MUNGU katika kulisoma Neno lake , maana ndio taa ya miguu yako na mwanga wa njia zako .
Neno la MUNGU π litakufundisha kuenenda ipasavyo katika NDOA yako π
Mwatakiwa kuaminiana na muwe salama wote.
βοΈMchezo, Wa Tabia Yeyote.ππ
Hupendelea position za sex mpya kila mara, tunajua mnapenda, basi kuweni wawazi kwa wenzi wenu, ili kujaribu, na ataweza tu ili kukufurahisha wewe. Neno la MUNGU π linasema,"Tena iko tofauti hii kati ya Mke na Mwanamwali . Yeye asiyeolewa hujishughulisha na mambo BWANA , apate kuwa Mtakatifu mwili na roho . Lakini yeye aliyeolewa hujishughulisha na mambo ya dunia hii , jinsi atakavyompendeza Mumewe."
1 Wakorintho 7: 34
βοΈHupenda Kuchekeshwa.ππ
Vitu vinapokuwa vimeenda vibaya huko kazini, au sehemu nyingine kwenye biashara, huwa na mawazo mengi, anahitaji kupata mtu wa kumchekesha ili asahau ya biasharani. Uwezo wa kucheka kwa pamoja unaleta tofauti .
βοΈKukufanya Wewe Uwe Furaha
Sio kwa ajili yake tu π, anajua hilo. kwa hio, mwambie unachohitaji, maana ya tahadhari , ili ujisikie vizuri. Neno la MUNGU π linasema , "Bali yeye aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia hii jinsi atakavyompendeza Mkewe"
1 Wakorintho 7:33
π΄NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE π
NA MALAZI YAWE SAFI π