-->

MWANAMKE FAHAMU KWAMBA KUNA MIAKA UNATAKIWA UWE MAKINI SANA NA WATU WANAOHITAJI KUINGIA NA WEWE KWENYE MAHUSIANO.

Tambua kuwa kuna miaka kwa mwanamke kuwa makini sana na watu wanao kuhitaji kuingia nao katika mahusiano ... Unapokuwa na age kuanzia miaka 22 mpaka 24 date wanaume wengi iwezekanavyo lakini usitembee nao ...hii itakupa experience ya kuwaelewa zaidi kabla ya kumchagua yule utakae mpenda.
Kuanzia miaka 25-29 ni miaka ambayo tayari unae mtu ambae umemchagua ... Mtu ambae kati ya wote uliodate yeye ni bora kuliko wao.. Hapa usiendeshwe na mihemko ya kihisia tu bali changa karata yako vema kwa akili.
Unapokuwa umefiksha miaka 30 kuendelea ...usiruhusu kuingia katika mahusiano na mwanaume mwenye tabia za kivulana maana huyo hakufahi tena katika age yako... Mwanaume ambae hana plan na wewe.. Yeye anachotaka kwako ni starehe ..unapokuwa umefikisha miaka hii unatakiwa ufikiri mara mbili kwa akili na sio kwa hisia za moyo wako tena...maana moyo haufikirii moyo hupenda kuambiwa mazuri tu.. Hii ni miaka ambayo tayari umeshapitia magumu na mazuri katika mahusiano.. Kwa hiyo unafahamu nini unafanya.
___
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU