-->

Mnaojitunza mkimuomba Mungu awape wenzi, mulishawahi kujiuliza haya?

1. Mungu hajibu hisia za mtu wala kukupatia unaempenda sana, bali anakupa mtu anaemtaka yeye na utakoma kwa sonona la miaka mingi.

2. Picha ulizo nazo kichwani tupa kule, Mungu ana picha zake akikupa moja utahangaika nayo hadi uzee wako na hutopona kisukari na presha.

Kama upo kwenye mkesha wa maombi kuhusu mapenzi, unapoteza muda. Mungu ni katili sana kwenye hisia za mapenzi, asikuambie mtu.

POLENI SANA MNAOTEGEMEA MUNGU KWENYE MAPENZI, YEYE WALA HASIKII HISIA ZENU!
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU