Inawezekana upo katika uhusiano π«πna tapeli wa mapenzi bila kujua, hiyo ni sumuππ na unachotakiwa kufanya sasa ni kuanza kumchunguza mpenzi wako mapema isije kuwa upo kwenye foleni! ππ β©Hakuna kitu kibaya kama kuwa katika foleni ya wapenzi kwa mpenzi mmoja, tena mbaya zaidi awe ni yule ambaye moyo wako umempenda ππkwa dhati.π β©Kumbuka, kuwa katika uhusiano πππna mtu ambaye haeleweki ni sawa na kukaribisha matatizo katika maisha yako, huna sababu ya kuishi kwa wasiwasi π±π±ukiwa hujui mpenzi wako anakuchukulia vipi. β©Anza kumuwekea mitego mapema. Lakini katika mitego yako achana na simu ββyake kabisa, huna sababu ya kuchunguza simu yake lππakini kama ni msaliti utajua tu, unafikiri atajificha mpaka lini?π¨π¨ Atafanya mambo yake gizani mpaka lini? Kuna siku utagundua na kumuacha aendelee na umalaya wake kama ameona ndiyo maisha. Usikubali π π Kabisa kuwa katika penzi la kitumwa, penzi la kisaliti, kuwa na mtu ambaye anakuchanganya wa kazi gani zaidi ya kukupotezea muda na kukukaribishia machozi?π’π’π’ UTAMJUAJE MPENZI LAGHAI? π»π»π»π»π»π»π»π»π»π» β©Hapa ndipo kwenye kazi, kwa bahati mbaya sana kama ikitokea ukampenda mtu sanaππ hata kama akifanya mabaya kiasi gani unaweza usiyaone, kama wewe ni wa aina hii unapaswa kubadilika kifikra. Mwone wa kawaida, fanya uchunguzi wako polepole na kama ukiona moja kati ya mambo yafuatayo, ujue kuna kitu.
ππ 1β‘ HATAKI UJULIKANE KWA RAFIKI ZAKE Hii ni kati ya alama walizonazo matapeli wa mapenzi, ni mtu wa kufanya mambo kwa upekee sana. Kila dakika hakaukiwi na neno nakupenda sana, lakini moyoni mwake hakuna alama hata moja ya mapenzi kwako.π π Ni vigumu kumtambua mtu wa aina hii lakini chunguza kuhusu hili, hapendi kabisa kukukutanisha na rafiki zake na hata mkikutana nao kwa bahati mbaya basi hatakutambulisha na kama akikutambulisha hatakutambulisha kama mpenzi wake rasmi. Ataishia kusema ninyi ni marafiki mlioshibana! Tangu lini mpenzi akatambulishwa kama rafiki? π¨π¨Mtu anapomtambulisha mpenzi wake humtambulisha kwa kujisikia furaha moyoni kwamba anamtambulisha mpenzi wakeππ« lakini inakuwaje kwako akutambulishe kama rafiki? Baadaye utakapomuuliza hawezi kuwa na jibu la maana, atabaki kukuambia hata kama akikutambulisha kama rafiki jamaa ataelewa kuwa ni mpenzi wake, hii inaingia akilini kweli?π¨π¨ Hakuna ukweli kama huo ndugu zangu! Huo ni ulaghai na anaogopa kukutambulisha kama mpenzi maana tayari ameshaonwa akiwa na wapenziπ«π«πππ wengine. Sasa kama ndivyo, atatambulisha wangapi? Aseme wewe ni nani? Amka ndugu yangu!
πππ 2) MSIRI KUPITILIZA πΈπΈπΈπΈπΈπΈ β‘Hii ni alama nyingine waliyonayo wanaumeπ¨ wa aina ninayoielezea katika mada hii. Siku zote mambo yake ni kwa siri kubwa, kama mna ahadi ya kukutana, hataki muongozane,π«π« atakuambia mkutane moja kwa moja sehemu husika. Hata muda wa kuondokaπΆ atafanya kila njia ili kila mmoja aondoke mwenyeweπΆπππΆ na kama mkiondoka pamoja basi ujue ni usiku na hakuna atakayewaona.π Ikitokea akakubali kuongozana na wewe, hatapenda muongozane pamoja. π«Atalazimisha utangulie mbele yeye afuate nyuma, kwa nini? Kwa sababu anaogopa kujulikana kuwa yeye ni mpenzi wako na kama anaogopa anakupenda kweli? Mapenzi gani hayo yanafanywa kwa siri? Anakupotezea muda huyo.
ππππ 3. HAPENDI NDUGU WAFAHAMIANE π»π»π»π»π»π»π»π»π» β‘Mpenzi wa aina hii ni mjanja sana, kwanza kabisa atajifanya mtu mwenye βubizeβ sana, yote hii ni kukwepa kuwajua ndugu zako au wewe kuwajua ndugu zake! Wakati mwingine anakuwa hapendi ndugu zako na wake wakutane wakijua wazi kuwa nyie mna uhusiano, πhili ni tatizo.π Hakuna uhusiano wenye heri na malengo ya kuishi pamoja siku zijazo ukawa wa kificho cha kiasi hicho. Kama ana nia na wewe basi atahakikisha anawafahamu baadhi ya ndugu zako na wewe unawafahamu baadhi ya ndugu zake, hayo ndiyo mapenzi ya kweli. πππππ Mapenzi hayaishii kwa nyie wawili pekee bali hata kwa ndugu zenu. Mnapojuana inakuwa rahisi kusaidiana hata katika mambo mengine ya kawaida. πΈπΈπΈπΈπΈ ππππMWILI wako una thamani kubwa sana, usiidharau jinsi yako, usijishushe kiasi hicho, huyo anayekupotezea muda na kukuchezea sasa hivi hana thamani kama huyo aliyeandaliwa kwa ajili yako. ππππ πΈπ»πΈπ»chumba cha mahaba ππ