-->

Ladies: UKIWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU AMBAYE BADO HAMJAOANA USIJE UKAFANYA JAMBO HILI

Ladies:
Moja ya mambo yanayotakiwa yasiwe public sana ni mahusiano kati yako na mtu ambaye hajakuoa ...trust me ... once ukiyaweka public ...jua kujibu maswali ya waswahili kipindi hawakuoni nae..
Boyfriend sio mtu wa kupost kwenye platform ya social media yoyote ...ni hatari kwa afya yako hapo baadae ... Utauficha uso wako wapi kwa waswahili pale yeye atakapopost mtu aliemuoa kipindi hicho unapekua pekua kwenye kurasa yako na kutafuta namna ya delete picha zake.
Kutompost sio kwamba haumpendi bali ni kwa ajili ya ulinzi wako na heshima yako ya baadae ...kama anataka umpost mwambie akuoe ..full stop.
Dayari Yangu
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU