-->

KAMA UNATAKA NDOA YENYE FURAHA ACHA KUWA MBINAFSI KATIKA KUFANYA MAPENZ1I!*


Acha kudai map-enzi kama Baba mwenye nyumba anadai kodi ya nyumba. Umetoka huko ulikotoka bila kujua kuwa ana hali gani, kashindaje na watoto walikua wanamsumbua namna gani unaanza kudai na kusema ni haki yako. Humuandai kwa chochote na wala hujali kama karidhika au la? Wanawake wengi hasa walipo kwenye ndoa hufanya map-enzi kama kazi na wengi unaweza kusema kama wanabakwa tu.
Hawaridhiki kwakua wapo na wanaume wabinafsi. Wewe mwanaume umetoka kazini, hata hukua na kazi nyingi kihivyo au hata kama ulikua nazo lakini ulipata muda wa kupumzika na kukusanya nguvu. Lakini mkeo katika kazini kafikia moja kwa moja jikoni, mpaka usiku inabidi aandae kila kitu kuanzia nguo zako za kuvaa mpaka nguo za watoto.
Halafu anafika kitandani unataka mechi, anakupa tu kwakua anajua ni haki yako au anajua kua akikunyima utachepuka. Lakini amechoka na hata asubuhi unapomuamsha ili mpashe kiporo anakua kama hakuelewi, yeye haridhiki na wewe hufurahii unamuona mvivu, unaona kazeeka unaanza kuwaza kuchepuka, hapana haiku hivyo.
Sio kwamba kazeeka ishu ni kwamba kachoka kutokana na kazi za nyumbani hivyo akili yake haipo kabisa katika map-enzi na kwa mwanamke kama haipo basi jua ni ngumu kwako kumfikisha na kama utakua humfikishi basi kwake kufanya map-enzi huwa kama adhabu. Hivyo kama unataka kuwa na kafuraha ndani ya ndoa yako nilazima uaadilike.
Kwanza ni kwa kumsaidia kazi za nyumbani asichoke sana, lakini pili ni kwa kumuandaa vizuri kabla ya mechi. Kumsaidia kuitoa akili yake kutoka kwneye kuosha vyombo na kurudi chumbani kwneye mechi. Lakini hiyo haitoshi, kumuandaa vizuri hakuwezi kusaidia kupunguza kuchoka hivyo nilazima ufanye kitu cha ziada ili naye aridhike.
Hembu tengeneza utaratibu angalau kwa mwezi mara moja, mtoe mkeo, muondoke nyumbani kabisa na kama uikiwezekana mkalale nnje. Nendeni nyumba ya kulala wageni, fanyeni yenu huko, yaani muwe na mechi ya ugenini, sehemu ambayo hatawaza kufua mashuka, hatawaza kupikia watoto, hatawaza kuosha vyombo na asubuhi hakuna mtu wa kuandaa kwenda shule au kazini hivyo mnafurahia mechi mpaka alfajiri.
Hii itamsaidia kuwa na furaha, kuondoa stress na kufika kileleni kwa urahisi. Kwa mwanamke hata kama akifika kileleni kwa mwezi mara moja tu inatosha kumuondolea stress na hatatamani kuchepuka. Lakini kama alishawahi kufika kileleni na wewe humfikishi ndugu yangu, jipange nirahisi kukusaliti kwani anakua hana namna. Hembu badilisheni mazingira hata elfu thelathini haifiki mnatoka na kufanya yenu kijanja kabisa.
Mwanaume acha kuwa mbinafsi eti kwakua wewe unaridhika hujali kuhusu mkeo. Hembu muangalie na mwenzako, mape-nzi ni kitu ambacho anakihitaji sasa usimfanye kwake ikawa kama kazi ya kukuridhisha wewe tu huku yeye akilia. Hata kama unampa kila kitu lakini kama humridhishi kama yeye hafurahii basi ipo siku atachoka na atatafuta kwingine kwa kupatia furaha.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU