πΈπΈπΉπΊπΈπΈπΉπΊπΊπΉπΈπΈπΊ *==>* _Huwa hajali mambo yako unayomwambia, ukimueleza muda huu badae anajifanya kusahau ili tu akupotezee mueleleo._ *==>* _Unapopanga kukutana nae huwa ni mtu asiyeishiwa na sababu za kushindwa kufika, huwa na aibu ya kukutambulisha kwa watu.Unaweza kufika nae mahali akakwambia kuwa"kuna watu wanafahamiana na mama/baba mahali hapa kwahiyo tusiongozane karibu", hapo anaweza yeye akatangulia mbele au kukuacha wewe utangulie._ πΈπΊ *==>* _Hufanya tabasamu la kuigiza au kicheko cha kejeli ili wewe uridhike kwamba anafurahishwa na uwepo wako kwake._ *===>*_Wakati mwingine inampasa mtu kujitambua na kumpa uhuru huyo umpendaye aweze kuamua mwenyewe labda kuendelea na wewe au kumfata anayempenda yeye._ πΈπΊ _Cha muhimu ni kuwa using'ang'anie mahusiano ambayo yanayoumiza moyo kwani yanaweza pasua moyo wako kwa mawazo._ πΉβ¨β¨πΉβ¨β¨πΉβ¨β¨ *β€.....JINSI YAKUMJUA MTU AMBAE ANAYEKUPENDA KWA DHATI:.......β€* *@alhy@* *β€==>* _Hachoki kukwambia *NAKUPENDA*, kwani anajisikia raha sana pale atamkapo neno hilo juu yako kwahiyo unaweza ukawa kama wimbo wake kwako._ πΈπΊ *β€==>* _Anajivunia kuwa na wewe na atapenda kukupa sifa nzuri kila mara, yani Hachoki kukusifia. Atakushauri pale unapokosea ili uwe katika njia nzuri.Unaponuna atajua cha kufanya ili wewe ufurahi na kurudi kwenye hali ya kawaida._ *β€==>* _Hachoki kukuombea mema na kukutakia mafanikio._ *β€==>* _Atapenda kukueleza ukweli kila mara ili uweze kujenga uaminifu na imani juu yake._ πΈπΊ *β€==>* _Wewe utakuwa ni mtu muhimu sana katika maisha yake, atakuthamini na kukujali. Tatizo lako litakuwa sawa na tatizo lake, atakupa ushauri bila kuchoka._ *β€==>* _Kabla ya kumuuliza swali kuwa "je unanipenda?" atakuwa ameshakujibu tena kwa hisianzito kuwa "nakupenda sana mpenzi wangu"._ *β€==>* _Hatokuonea aibu kukutambulisha kwa watu kuwa wewe ndiye mpenzi wake, kwakuwa wewe ndiye furaha yake._ πΈπΈπΉπΈπΊπΉπΈπΊπΊπΉπΈπΈπΊ *Bhoke Mgituti
JIFUNZE JINSI YA KUMTAMBUA MUME AU MKE MWENYE MAPENZI YA DHATI NA WEWE