-->

HII NI KWENU WASICHANA WOTE.

MAMBO 50 KUHUSU MKEO 1. Mkeo sio... - Maisha Na Mahusiano Online ...
Ewe Dada au mdogo wangu ambaye upo katika harakati za maisha ya kuja kuishi na mwanaume baadae jipange sana ...
Tumia akili yako yote kujua mambo yafuatayo,
1, sister duuuu haolewi Bali huishia kuchezewa tu. Hivyo tumia maarifa na ubunifu kupenda kazi pamoja na kutunga mbinu za mafanikio.
2, usitegemee kuna mwanaume atakuoa kwasababu ya uzuri wako, mwanaume atakuoa kwa sababu ya kujituma kwako na kujitambua,
3, kujichubua, kuweka kucha bandia, kuwa na dharau kwa wenzako ,kuvaa nguo za kishenz vyote hivyo ni makovu ambayo baadae yatakufanya ujute, hivyo jione mtu wa kawaida,
4, usimwone mwanaume ana Mali zake magar pesa bas ukamshobokea ili upendwe hahahaaaaaaaaa pole, utachezewa na kuachwa yupo aliye nyuma yake anaempenda na kumsaidia katika mafanikio.
5, kwa maisha ya sasa hakuna mwanaume atakayekuweka ndani kama huna kazi au ujuzi wa chochote chenye faida, hivi huoni aibu una miaka 20 na kuendelea ,husomi wala huna kazi badala uangalie shughul ya kufanya au upate kazi yoyote ya kukusaidia unajishkiza na wazazi hadi hela ya kununua mikate unamtegemea mzazi wakati una mikono miwili. Hii ni aibu. Chukua hatua.
6, jenga hofu ya mungu daima na uwe wa kwanza kuharakisha mafanikio. Jitambue na ufanye kazi kwa bidii mbona utaheshimika tu.
7, heshma ya mwanamke bwana ni kujitambua, kupiga kazi ,na kuwa mfano wa kuigwa kila uendako . pia kuwa na mipaka .
8, usikubali kuwa golkipa kwa mwanaume, yan alete we ule na kupokea tu duuuuuuuu hata ukute ni Mimi nitakuchoka.
9, jiulize matumizi yako ya simu yakoje , na unaishije na watu, utakuta eti unaenda kumsalimia boy wako unafika unamkuta anaosha vyombo badala umsaidie unajilaza hapo na kuchart na smartphone yako tu bila kujua kakuhifadhi akilini. Anakuuliza akupikie nini kwa utaahira wako unamwambia eti wali nyama badala umwulize yeye anakula nn hahahaaaaaaaaa nyoooo yan hatomaliza muda anakutaftia sababu anakutupilia Kule,
Mwenyezi mungu awe mwanga kwetu vijana tunaotegemea kuoa na wengine kuolewa kwasababu kila kukikucha dunia inabadilika . hivyo lazima tuwe wabunifu na tujitahidi kila kukikucha kuwaza maendeleo na sio kuwaza ya watu flan kafanya hivi sijui kaenda vile jaman hayatuhusu tufanye mambo ya msingi tutafanikiwa.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU