๐ธ๐ฐ๐ต๐ฏ๐ฑDear girls, ivi wale waschana mnaowapaga penzi wapenzi wenu kabla ya ndoa mna akili gan❓ hivi kama mmeshafanya mapenzi zaidi ya mara tatu una kipi kingine cha kumshawishi akuoe ❓๐ kama tendo lote analipata kabla ya ndoa tena wajinga wengine mnanyonya adi pipi zao sa anaingia kwenye ndoa na wewe ili apate kipi kipya, una kipya cha kumpa❓๐
๐๐๐Kisaikolojia binadamu tuna tabia ya kuvizoea vitu tunavyotumia mara kwa mara na tukishavizoea vinashuka thamani, vikishashuka thamani vinakera vikishakera vinatia hasira๐
Kama ushasex na mtu wako zaidi ya mara 5 una aslimia 5 tu za kuolewa.
Kama ushasex na mtu wako zaidi ya mara 5 una aslimia 5 tu za kuolewa.
๐ณ๐ฎ๐ฒMe ni mwanaume pamoja na akili nyingi na hekima nyingi alizonipa Mungu but nishawahi kupenda na kulia juu๐, Sisi tukipenda hua tunatamani kumwona mda ote yule tumpendae, ile tu kumwona kuongea nae kuzurura nae kukaa nae ni furaha atari ile akikukiss sasa we furaha yake ni zaidi ya kununua gari ni kweli hua tunatamani kusex ila ukitunyima sio kwamba tutapunguza upendo NO, ila ukitupa tu tunapata wasiwasi na ww na imani inapungua, tena ukitupa mara kwa mara duh tunaanza kukudharau, wangapi mliposex tu mara kazaa heshima ilipungua, mkaachwa, jamaa ako akipata hamu ndo anakutafta unakua kipozeo yani, wangapi mliposex mara kazaa jamaa ako akaanza kutongoza dada zako marafiki zako tena ata haogopi yani
๐๐๐Hakuna kitu kinatuuma kama kuachana na msichana halafu ata hujasex nae aisee #inaumaga_hiyo , Kama anakupenda kwa dhati hawezi kukuacha kisa umemnyima sex ila anaweza kukwacha tena kwa dharau kisa umempa sex mara nyingi nyingi, biblia iko wazi MWANAMKE MJINGA HUVUNJA NDOA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE, wengi mmevunja ndoa zenu kabla ata hamjaingia kwenye ndoa zenyewe๐dah