Zawadi bora ambayo mwanaume anaweza kumpa mwanamke wake ni;
MUDA🕘
UMAKINI WAKE💪
UPENDO WAKE💞
ULINZI WAKE🔏
UAMINIFU WAKE✊
MSAADA WAKE
MSHIKAMANO pamoja na UMOJA✌
Mnahisi mwanamke akitambua ana mwanaume pembeni yake kwa uwezo chanya, ni rahisi zaidi kwake kuleta pendo lake tena.
Wanawake wengi hawana mlolongo bora wa kukumbukumbu inapokuja kwenye kumuamini mwanaume. Kwa sababu Mwanamke kila anapokuwa ameumia hulia na kujipa ujasili ili kuendelea mbele, Wanawake wengi wamepitia mgawanyo mbaya ata kama ni kwa muonekano, hisia au kiwango cha juu. Kiukweli wakati mwingine mwanaume mzuri anaweza kumuogopesha mwanamke sababu atajitokeza kuwa mzuri zaidi ya kuwa mkweli kitu ambacho mwanamke anakihitaji kuliko uzuri.
Mwanamke huangalia mtiririko wake kwanza kwa kujikumbusha madhaifu yake japo asije kukosea kama alivyoumia hapo awali, kabla hajakiri kinachofanya ayaone yaliyopo machoni mwake Mwanamke anazo sababu mbili ili kuendelea nazo ni;
▪ HISIA ZAKE ZINASEMAJE?
▪ HOFU YAKE IKO KWA KIWANGO GANI?
Japo hayo ndiyo yaliyowaangamiza wengi, Maana pengine hisia zikampeleka kwenye hatari ama hofu yake ikamkosesha mahala salama, Mwanamke akikutana na mwanamme ambae yupo tayari kumpa upendo wake ambao anastahili, itamuogopesha kwanza na tena itaacha hisia zake kwenye amani ya jumla💪
#Elista_Kasema_ila_Sio_She