-->

WNAUMEE!Kumpiga mkeo hakukuongezei Credit kuwa ww ni kidume!

Kumpiga mkeo hakukuongezei Credit kuwa ww ni kidume!!ila kuna kupunguzia hadhi ya kuwa mwanaume!!mwanaume haswaa atapambana na wanaume wenzake kumlinda mkewe!!ila mwanaume dhaifu atafyata mdomo mbele ya wanaume wenzie atajifanya mwamba kwa mkewe!!dear brother mwanamke hapigwi /wala tabia ya mwanamke haibadilishwi kwa kupigwa zaidi ndio utamfanya afanye kwa siri zaidi ili usijue!!nikupe tu siri mchepuko hauchwi na mkeo kisa umempiga !!mkeo ataucha mchepuko ukibadili tabia zilizofanya atoke nje ya ndoa!!kumpiga kutamfanya aone yuko sahihi kutoka nje ya ndoa!!najua huwez kunielewa ila jua tu siku zote mwanamke malaya anatengenezwa na mwanaume !!yaani huyo mkeo aliyetulizana kama mtungi siku ukianza vituko na kumcheat hadharani bila adabu atakucheat tu broh!!!......moyo wa mwanamke unahitaji malezi!!kudekezwa!!kusifiwaa!kusikilizwa!!kujariwa!!na kupewa sikio la kumsikilizaa..ndivyo walivyoumbwaa wala usipanic!!!wanaume tumeumbwa tuheshimiwe bro !!ila wao kupetiwa ndio burudani yao!!#counsellor
Counsellor
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU