-->

WANAUME KATAENI KUWA SABABU YA MBEGU KWA AJILI YA WANAWAKE KUPATA WATOTO👪

Image may contain: 3 people, people sitting
Ipo dhana mbaya sana imejitokeza kwenye kizazi cha sasa, Yaani Mwanamke anakuwa hana shida na MUME kwa kuogopa karaha za ndoa na badala yake Mwanamke kumtaka Mwanaume kwa sababu ya MBEGU ili abebe Mimba, Kuna zao baya la wanawake wao WANAHITAJI KUWA NA BABA WA MTOTO kuliko kuwazia kuwa na MUME.
Lakini sitaki kuwalaumu sana wanawake Kwani wanaume wa sasa HATUTAKI KUSHIRIKI MAJUKUMU YETU KWENYE NDOA na badala yake tunawatafuta wanawake ambao tayari wana maisha yao kwa ajili ya urahisi wa MAISHA na kumbe ndo tunajitafutia MAHANGAIKO YA NAFSI💑
Ni ujinga wa kiwango cha UTAHAIRA kwa Mwanaume kukaa mezani na kula chakula bila yeye kuwa ametoa matumizi husika, Pengine ulitoa hela ya dagaa🐟 inakuwaje unakuta meza imewekwa kuku🍗 na mboga🍜 za kutosha WALA HUJIULIZI?
Hayupo Mwanamke anapenda kumhudumia MWANAUME ila nijuavyo mie WANAWAKE NATURE YAO KUSHIRIKI NA MWANAUME WAKE KWA KILE ANACHOKIPATA ila kwa sharti moja tu UWE KAMA ATAKAVYO ndo maana Mwanamke hawezi kushiriki na Mwanaume kitu chochote zaidi ya SEX Kwani ni sehemu ya HITAJI LA MWILI ila Mengine ni mpaka aone Mwanaume anaendana na vile apendavyo yeye, Ukiona Mwanamke anakuimbia wimbo kwamba "MIMI SIPO KWAKO KWA MATERIAL THING'S ILA NAKUPENDA TU" wakati huo huo huna kitu na yeye ana kitu UJUE WEWE NI MSAGA SUMU kwamba kazi yako kumuua kiti anapokuwa amependa
Mwisho wa yote ATAKUACHA SIKU USOTARAJIA Kwani akitokea mtoaji wewe na sarakasi zako UTATEMWAAAA TU🙈
Mimi sikupanikishi ila sikufichi PANIC AT YOUR OWN RISK🔇
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU