-->

UNAJUA Kwanini MAPENZI YA SASA HAYANA FURAHA?

 Image may contain: 2 people, people standing

Maisha yenye FURAHA wengi wanayapata kwa njia ya usaliti, Kwa sababu ndani ya UONGO kuna bashasha na burudani lukuki japo si za kudumu, Ndani ya UKWELI huna furaha kwa sababu hakuna mambo yapozayo moyo kama wengi wapendavyo ila kuna misimamo ambayo wengi haiwapi kuona burudani bali wanajiona kama mateka, Ndo maana unakuta ndoa nyingi ama mahusiano mengi yametawaliwa na majuto, kila mmoja kujutia KWANINI NILIMKUBARI bila kujua chimbuko la ukosefu wa FURAHA YA KUDUMU... Jibu ni dogo sana katika kitemdawili hiki;
NI KOSA KUANZISHA MAPENZI AMA KUINGIA KWENYE NDOA KWA SABABU ZAKO BINAFSI badala ya kutimiza matakwa ya NDOA💑Unakuta mtu ana sababu ndogo kabisa "WATU WANIONE NAMI NINA MTU" unategemea kitakachofuatia katika hitaji lako ni nini? MAUMIVU YA MAPENZI YANAISHI DAIMA MPAKA MWISHO WA UHAI kwa sababu huwezi kuumia bila kuwa na UPENDO WA DHATI... Kukwepa mateso ya MAPENZI NI KUTOUTENDEA YAKUUMIZA MOYO WA MWENZA WAKO WAKATI UNAJUA UNAMPENDA kwani Moyo una majibu mabaya ikiwa UTABAINI UNADHURUMIWA HAKI ZAKE! Kama huwezi kumpenda kwa hakika USIMPE YATAKAYOMFANYA AJIONE YUKO MAHALA SALAMA japo itamuuma ila itamsaidia kuizoea hali KABLA MAZOEA hayajashika kasi moyoni, MAPENZI YANAUMA NDUGU ZANGU hasa ukibaini umpaye MOYO wako amwkufanya NAFUU YA MAHANGAIKO YAKE😭😭😭
Mhurumie akupendaye asije kuumia, Maumivu hujenga hasira pamoja na ROHO MBAYA... Majibu ya moyo uliojeruhiwa ni hatari kwa MAPENZI! Ukiona umekomaa na HASIRA ZA MAPENZI ujue hauko nomal😅😅
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU