-->

UKIUMIZA NA WEWE UTAUMIZWA TU.

Ukiumiza utaumizwa
Mapenzi Siku Iz Huwa Yako Iv.. .. umiza_nawe_utaumizwa_tu
Unamuumiza Anayekupenda Kwa Dhat Kwa Kudhan Upo Sahh Kumsalit Au Kumdanganya Kuwa Unampenda Na Hal Uko na mtu mwingine
Ye Anakupenda Kkwel Na Wewe Unamdanganya Mwisho Unampa Sabab Unamwacha Na Kwenda Kwa Yule Unayedhan ni chaguo lako sahihi.
Machoz Ya Mwenye Haki Hayapotei Amini hivyo
Unakuwa Na Huyo Unayempenda.Lakin siku zinavyo songa Ulichomfanyia Yule Kinakutokea Na Wewe kama ulicho fanya kwa mwingine.
Na Wewe Unaumizwa Vile Vile....
Lakn Machoz Yako Yanaweza Potea Bure Sababu Wewe pia kuna mtu ulicheza na moyo wake
.Ushaumizaga mtu asie na kosa So Huna Haki nawe utaumizwa tu
Usimuumize mtu kisa wewe uliwah umizwa na mwingine.. Uliye nae au utakae kuwa nae hauhusiki na maumivu yako ya nyuma.mpe nafas kwa kuwa umeridhika nae na sio kujifurahisha tu
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU