-->

UKIONA HIZI DALILI UJUE UNAANZA KUPOTEZA HISIA KWENYE MAHUSIANO YAKO


1.unaanza kutopokea simu za mpnz wako bila sababu yoyote muda mwingine ukiona simu yake inaiita unatamani hata kuikata bila sababu yoyote.. Jua tu unaanz kupoteza hisia taratibu
2.huisi kumpigia simu hata uwe na salio kias gani muda mwingine unamsahau kabisaa unamkumbuka muda anaopiga simu
3.hata atume sms nzur kias gani unaona kero tu hata kuisoma muda mwingine unaweza hata usiimalize kuisoma
4. Ukipokea simu yake unakuwa huna maneno mengi automatically.. Unatamani amalize tu kuongea.. Hata aulize kitu kinachohitaji majibu marefu unajikuta unajibu kifup fupi tu....
5. Muda mwingine asipokutafuta unashukuru MUNGU....maana huoni mvuto wowote wala msukumo wowote wa kuongea na yeye.....
6.akipiga simu kabla hujapokea unaikunja sura bila sababu yoyote...... Maneno yako yanakuwa makali makali tu.
7.hata akupe zawadi nzur vipi hauion thamani yake..... Kama ni nguo hata kuivaa mpk ujisukume sanaaaaa
8.sms zako nyingi zinaanza Kuwa short kama. Usiku mwema nalala..... Akhasbh njema... Ntakutafuta.. Kiufupi hata neno mpnz linakuwa gumu kulitamka...... 9.unapotafuta watu wa kuwapigia simu kwenye contanct zako yeye anakuwa wa mwisho kupigiwa na hata ukimpigia huongei story muendelezo.. Unampigia tu ili kuepusha kulalamikiwa ( kiufupi unapoona hizo dalili unazo upande wako ujue tu umepoteza hisia na hamasa na hayo mahusiano..... Ukiona pia mpnz wako ana kuonyesha hizo dalili ujue safar yako ya bila nauli imewadia..usimtafute kibonde washa undicator rudi reverse kawasalimie uendako.. #kibonde
Counsellor
Najua kuna watu haka kakipindi kanaendelea kwao...muda wa huu simu ya mpnz wake ikiingia anataman hata kuzima simu.....na hasira juu..huku moyoni anajisemea hichi nacho kisumbufuu....haha .
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU