-->

NIKUPE SIRI MAPENZI HAYANA UJANJA WALOKOLE MJE


Kama unampenda mtu au unataka mtu akupende fanya juu chini sababisha huyo mtu akupende sababu upendo umebebwa asilimia 100% ni matendo hakuna imani kwenye upendo kwaiyo...
unafanya maombi ili mtu akupende mumeo au mke ni uchawi utamfanya azuzuke kwa maombi akili ikirudi anarudia pale pale sababisha mtu akupende badilika ongeza viwango mfano mumeo au mkeo apendezwi na uchafu ulio nao unafunga na kuomba ili akupende ðŸ˜‚😂😂 dada angu hayo ni maombi ya kijambazi acha ...
fanya maombi kazia na ujuzi na utaalamu walimu wako tupo kukufunza usikose fwatilia mafunzo mbali mbali humu ujue mengi ya kuboresha ndoa yako na page ya mwalimu Bemasha ,,ingia YouTube search ukombozi wa fikra na mwalimu Bemasha, group mbali mbali za WhatsApp zenye waalimu wenye upeo mkubwa sana , Instagram search mwalimubemasha..........
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU