-->

"Kuna kitu kinaitwa kupretend. Na kuna watu ni wana sugu ya kuwa pretender 😂

. Atafanya kitu ukiamini asilimia mia ni kweli. Atakupenda na kukuonesha kuwa hakuna kitu kingine kinaendelea behind. Yaani bila msaada wa Mungu tu unaweza tumbukia shimo huku unajiona ðŸ˜‚. It happened to me. Nilikuwa na mtu ambaye mpk nimekujua kujua madudu anayoyafanya ni baada ya kufanya maombi. Nikamwambia Mungu nitakuwa na kifua na sitafanya jambo lolote lile aisee matukio niliyokuja kuona after maombi nilinyoosha mikono nakusema asante Mungu kwa kunipenda kabla sijaingia kwenye ndoa. Mana ningeyakuta makubwa zaidi. Unaweza ukawa mwaminifu kwa mpenzi au mchumba but kwa upande mwingine akaonesha ni kweli mwaminifu kumbe anatumia ujuzi wa hali ya juu kukufanya usijue lolote na kukufanya ujione wewe ni wa pekee. Namshukuru Mungu nilipata ujasiri wa hali ya juu baada ya kupigwa matukio, na nilivyotanguliza maombi nilipata amani ya ajabu sana na kumshukuru Mungu kwa yote la sivyo sijui ningepata mapresha nahisi. I came to know kwamba God is everything in my life chochote utakachoomba kwa kumtanguliza yeye anakupa what you deserve." Hii ni moja ya comment ya dada fulani kwenye moja ya mafundisho yangu.....jifunze kumtanguliza MUNGU kwenye mahusiano yako..muda mwingine kwa akiri ya kawaida ni ngumu kujua madudu ya mpenzi wako"""jifunze kuomba na kumpa ulinzi wa kiroho mtu uliye naye #kibonde
Counsellor
Image may contain: one or more people, people standing and outdoor
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU