-->

Ngoja nikwambie kwanini UISHI KWENYE MAPENZI KWA KUUFUATA MOYO huku ukiiruhusu akili iwe mlinzi wa MOYO?

Image result for mapenzi wakubwa
Moyo huchagua matokeo yasiyojalisha upendo, furaha, ukarimu, heshima, kujali, amani, ukakamavu na pongezi zinazohusu mahusiano, Akili huchagua majibu ya woga, Hasira, huzuni, chuki, kisasi, mashaka, kutothaminiwa na lawama, Mwisho wake unaujua?
Si mara zote kitu rahisi kufanya au kuchagua moyo ulipokita kuuingia, wakati akili inapiga kelele kwetu vinginevyo, Lakini kadiri tunavyojiingiza mioyoni mwetu, undani wetu na ujuu wetu, kadri tunavyofanya kwa sehemu halisi ambayo tulivyo kiukweli... Kwanini ni MOYO NDO UNAONDESHA MAPENZI NA SIO AKILI?
Moyo una tabia ya huruma, mazoea, shauku, hayo ndo yanayoweza kukusababisha uwe MVUMILIVU MAHALA AMBAPO MTU MWINGINE ASIYE NA HIVYO AHISI UNA MAPUNGUFU... Akili ina tabia ya kukata tamaa, Kupuuza, kususa, Mwisho wa hayo ni KUPANGA KUONDOKA MAHALA ULIPO! Je unajua madhara ya kumuondoka Mtu ambaye MOYO unampenda ila AKILI inakuongoza kuondoka? Ni kushindwa kusimama kwenye MAHUSIANO na kujikuta kila unapoingia unahisi kama sio salama, sababu ni moja tu MOYO UKO KWA YULE ULIYEMUONDOKA ILA AKILI YAKO INAKUYUMBISHA... Simamia kinachotokana na MOYO maana hicho ndicho kinatajwa kuwa UTASHI.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU