-->

KWANINI WATU WALIOKWISHA KUWA KWENYE NDOA WAKATOKA HUWA HAWAWEZI KUINGIA NDOA NA WENZA WALIOKWISHA KUWA NA NDOA?

Kiapo ndoa ya Pilipili chatikisa, mwenyewe afurahia tuzo | Mtanzania
Majibu ni mafupi sana;
• Ndoa inabeba ujumbe wa FURAHA NA AMANI hivyo mtu aliyeumizwa kwenye NDOA hawezi kuwa sehemu ya FURAHA NA AMANI kwa mhanga wa MAPENZI.
Kwa sasa NDOA nyingi ni za WAMAMA KWA VIJANA na WABABU KWA MABINTI na ukiingia ndani kutaka kujua unabaini KILA MMOJA ANAPATA ANACHO STAHIKI💯
Maana baada ya maumivu ya NDOA kinachohitajika ni FARAJA na kwa vyovyote vile MHANGA HAWEZI KUMFARIJI MHANGA bali FARAJA hutoka kwa asiyehitaji FARAJA 
Huwezi kuwa sababu ya FURAHA NA AMANI kwa Mwenza wako ikiwa wewe mwenyewe upo kwake kutaka FURAHA NA AMANI maana ili NDOA iwe kwenye uwiano lazima mmoja awe sababu ya FURAHA NA AMANI YA MWINGINE hapo ndipo ile maana ya UPENDO WA DHATI hutajwa 💯
Tayari NDOA YA AWALI HAIKULETA FURAHA NA AMANI hata akaondoka wakati huo huo na wewe ULIIACHA NDOA AMBAYO HAIKUKUPA FURAHA NA AMANI kwa vyovyote vile kila mmoja anatakiwa kuwa na Mtu FRESH Yaani ambaye hajawahi kuwa na NDOA huyo anaweza kuleta UKOMBOZI kwenye NAFSI YAKO.
Raha ya NDOA kwa Mwanamke ni kuwa na MUME WA MAJUKUMU vivyo hivyo kwa Mwanaume ili aone raha ya NDOA yampasa kumpata MKE MWENYE UTII kinyume chake ni kujitaabisha kama Panya kwenye ndoo ilojaa maji😂😂
Mke ama Mume wa Mtu ni watu ambao hawatabiriki kwenye UPENDO japo sio wote pengine kaumizwa ila hakuumiza but KWA UHAKIKA ZAIDI WA NDOA YA MTU ALIYEWAHI KUWA MKE AU MUME WA MTU HAKIKI CHETI CHA KIFO CHA MWENZA WAKE TOFAUTI NA HAPO UNALEA KISUKARI KAMA SIO BP😂😂
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU