-->

LIMBWATA RAHISI LA KUMVUTA MWANAUME UNAYEMPENDA AWE KARIBU NAWEWE/AKUPENDE ZAIDI KULIKO CHOCHOTE

Image result for mapenzi wakubwa
πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚
Angalizo:Usifanye kwa mume wa mtu hili limbwata akatelekeza familia yake tafadhali:
Limbwata hili ni kwaajili ya kumvuta mwanaume unayehitaji awe na mahusiano na wewe yaani akupende na akuhitaji kama hajakutongoza basi baada ya kufanya hili limbwata atakutongoza na kama tayar mna mahusiano ila hayaeleweki au hayana nguvu basi baada ya limbwata hili mtakuwa karibu mno na atakuwa karibu na wewe mpaka utamuonea kero!..hivyo kama unataka mwanaume awe karibu na wewe zaidi kimapenzi mfanyie hili limbwata! na limbwata hili unaweza kulifanya zaidi ya mara moja.pia unaweza fanyia mwanaume zaid ya mmoja ila kila mtu awe na vifaa vyake na siku tofauti ila atlist kila mmoja mpe wiki yake yaani unaweza mfanyia mmoja jumatano hii mwingine jumatano ile ila wakikuganda mie simo,na sharti kubwa la limbwata hili usiwe kwenye hedhi
πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚
MAHITAJI
Chumvi vidonge saba
karatas nyeupe
mafuta ya nazi
mlipu(hii dawa utapata wanapouza dawa asili)
mkaa
πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚
JINSI YA KUFANYA:
ANDIKAjina la huyo ulomkusudia mara saba kwenye karatasi
geuza karatasi andika manuizo yako yote kuhusu huyo mtu kwa herufi kubwa mfano.ISA ATHUMAN ,NIPENDE MIMI PEKE YANGU,NIJALI,NIHITAJI KILA SEKUNDE,VUTIWA NA MIMI NIONE MIMI PEKE YANGU MZURI KULIKO WANAWAKE WOTE KILA NINACHOHITAJI KWAKO NIPE,PESA,MALI,NDOA N.Kandika yotee
WASHA JIKO LA MKAA,AU KAMA WATUMIA KITEZO HAKIKISHA JIKO LIMEWAKA HASWA
.CHUKUA MLIPU KIDOGO NA VIDONGE VYA CHUMVI TIA KATIKA ILE KARATASI KISHA FUNGA (VIRINGISHA)ILE KARATASI ALAFU ICHOVYE KWENYE MAFUTA YA NAZI VIZURI KISHA TUPIA KARATASI YAKO KWENYE MOTO
ALAFU NUIA TENA SEMA KAMA ILIVYOLOWA KARATASI HII BASI NATAKA ISA ATHUMAN MOYO WAKO ULOWE KWANGU NA KAMA CHUMVI HII INAVYOTATASIKA BASI NA WEWE FULAN BIN FULAN MOYO WAKO NA AKILI YAKO VITATASIKE JUU YANGU,KAMA MLIPU UNAVYOLIPUKA BASI NA WEWE POPOTE ULIPO UKULIPUKE NA KUNIWAZA MIMI FULAN BIN FULAN KILA UNAPONIONA UPAPARIKE USHINDWE KUJIZUIA,POPOTE ULIPO FULAN BIN FULAN NINAKUITA POPOTE ULIPO UJE KWANGU MIMI KWA KUNYENYEKEA ....ONGEZEA NA YAKO
UKIMALIZA ACHA JIKO LIWAKE HAD MOTO UISHE
KAZI YAKO UTAKUWA USHAMALIZA
MATOKEO UTAANZA KUYAONA KUANZIA SIKU YA NNE TANGU UFANYE DAWA HII
πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚BY KUNGWIIIπŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚πŸ‚
0658247651 DAWA IPO YA KUTULIZA NDOA
πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸšΆπŸΌπŸšΆπŸΌπŸšΆπŸΌπŸšΆπŸΌπŸšΆπŸΌπŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
DAWA YA KUMTULIZA MKE AU MUME IPO 0658247651
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU