-->

MWANAUME UNATAKA UAMINIWE NA KUPENDWA NA MWANAMKE BILA UNAFIKI?

Image may contain: 1 person, smiling, sitting and indoor
Ngoja nikwambie na ikikupendeza UNIELEWE🀝🏼 Kwanza tambuwa kwamba USITAFUTE KUPENDWA NA MWANAMKE KABLA YA MWANAMKE KUKUAMINI kwani Mwanamke kukupa mwili wake haimaanishi kwamba ANAKUPENDA japo wanaume wengi mnapofunua magauniπŸ‘— ya wadada mnafikiri ni UPENDO kuna wakati nae anataka BRUSH kwani ni bin adamπŸ™ˆ
Mwanamke anapokuwa AMEKUAMINI atakuheshimu, na UKIHESHIMIWA na Mwanamke ATAKUPENDA na mwisho kabisa MWANAMKE ATAKUWA HURU KWAKOπŸ™‰ Usimwamini mwanamke anaekuvulia nguoπŸ‘™ wakati amejaa mashaka juu yako, Pengine wewe ndo chanzo cha ukurupukaji wa Mwanamke kukupa mwili wake kabla ya kukuamini ila unaweza kumsababisha Mwanamke huyo akakupenda, Hakuna Mwanamke duniani HAPENDI KUPEWA.
Mpe mwanamke wako ili ujenge BOND NDANI YA MOYO WAKEπŸ’ͺ🏽
Ukimpa umemfanya kuwa na TUMAINIπŸ’˜
Unataka kujua umpe nini?
Mimi nimesema MPE AKUPENDE niamini UKIMPA ATAKUPENDA😎
Mwanamke anapenda KUPEWA ila kwa lugha ya tulozaliwa enzi za MWALIMU tunasema "MWANAMKE ANAPENDA KUHONGWA"
Wanaume rejeeni kwenye KUHONGA hiyo ndo heshima yetu, Usipohonga huwezi kuituliza akili ya MWANAMKE wako, Kuna wakati Mwanamke anataka kuwa na elfu 10,000/= kwa wallet yake, Kuna wakati anataka kula ICE CREAM na hajui aipate wapi, Hujiulizi Kwanini WANAWAKE WANAOJIHUDUMIA HAWAPENDI WANAUME?
Sababu anajitimizia MAHITAJI ina Maana akikosa Mahitaji na akampata anayempa AKILI YAKE ITAHAMIA HUKO.
Fanya MTIHANI wako mwenyewe pambanisha MOYO NA AKILI yako ili uweze kupata sababu ya kwanini WANAUME WA ZAMANI WALIOA MKE ZAIDI YA MMOJA NA WANAWAKE WOTE WALITULIA?
Baba zetu walijua kununua kiwanja, Walijenga nyumba, Walikuwa na mashamba, walijua kuwatunza wake zao, Walitunza watoto wao, Mama gani alikosa kitenge kwa Mume bora?
Huwezi kuituliza akili ya Mwanamke ikiwa HUMTIMIZII MAHITAJI YAKE
Mwanamke hata akiwa na kazi anapenda UNUNUE HATA BLAZIA akiivaa anajiona nae ni Mwanamke, Wallah nakuapia MWANAMKE AKITIMIZIWA MAHITAJI YAKE HUAMINI YEYE NDO MTAMU KULIKO MWANAMKE YEYOTEπŸ™ˆ
Sasa wewe kaa kama Mwanamke ukipenda kuhudumiwa wakati anayetakiwa kuhudumiwa ndo anahudumiaπŸ˜‚πŸ˜‚
Yawezekana yupo anayemhudumia mkeo huko nje ndo maana anaona wewe ni tegemezi wake ANAKUHUDUMIAπŸ˜‰
Jiangalie unaweza kudhani mkeo ANAKUHUDUMIA na kumbe Kuna JIBABA LINAMHUDUMIA YEYE MPAKA NA WEWEπŸ˜‡
Panic at your own RISK🚷
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU