-->

MWANAMKE!! NAKUIBIA HII SIRI KUHUSU WANAUME;

Image may contain: 2 people, close-up

Usalama wa Mahusiano/ndoa yako unatokana na UBONGO WA MWANAUME KUFANYA KAZI SANA😎
Mwanaume anapokuwa busy mara nyingi hamu ya tendo la ndoa huwa kwa asilimia ndogo sana, Japo hutegemea zaidi eneo analokwenda kupumzika baada ya MAHANGAIKO YA MCHANA KUTWA
Wanaume wengi wameangukia kwenye USALITI kwa sababu moja kuu;
 MKE KUSHINDWA KUENDANA NA UCHOVU WA MUME BAADA YA KUWA NA KAZI NYINGI.
Mazoea yamekula ndoa nyingi na kuzifanya kukosa FURAHA NA AMANI kwa jambo dogo tu KUCHUKULIANA.
Hakuna Mwanaume mjanja kwa Mwanamke ni vile wanawake hamjui kutumia uwezo na mamlaka MUNGU aliwapa ila naomba niwaambie kwamba KUUTEKA MOYO WA MWANAUME NI MAPOKEO MAZURI BAADA YA MAHANGAIKO YAKE.
Wala hupashwi kutumia nguvu nyingi;
Kanga moja ya INDIA.
Sauti moja AMAZING.
Mikono iwe TEMBEZI mwilini mwake.
Kwa taarifa yako wewe ni mzuri kuliko MCHEPUKO ila tofauti yenu wewe UMELEWA MADARAKA kwamba ni Mume wako so hata afanyeje ATATUDI TU😅😅
Mama usibweteke kiasi hicho, Usipoziba ufa hutaweza kujenga pakibomoka NIAMINI NAKWAMBIA.
Kwanini dowezi akupokonye MUME kwa ujanja wa mitego na kujibebisha tu?
Hakuna jipya la kukuzidi ila ni namna tu ya wewe kutoendana na MAJIRA YA MUME AWAPO AMEJICHOKEA haina maana hatataka MGUSO WAKO kama wanawake wengi mnavyoamini ila PUMZIKO UTAKALOMPA ndilo litapandisha MIZUKA😅😅😅
Usiibiwe MUME kwa kushindwa kubana sauti, kuvaa kanga moko, Mikono yako kukamata kila mahali, Hizo hasira na MAKWAZO amekukwaza weka kwenye kopo la uchafu hakikisha AMEPUMZIKA IPASAVYO hiyo ndoa utajidai nayo, Lakini kutwa unavuta midomo wallah HATA KIJAKAZI WAKO ANAWEZA KUKUTWALIA MUME WAKO.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU