-->

MSAMAHA NI NINI? NA UMUHIMU WAKE KWENYE MAHUSIANO??

Happy couple on the couch using phone at home in the living room Stock Photo - 46070750

MSAMAHA NI NINI?
Msamaha ni tendo la ubin adam lenye maana mbili;
 KUBEBEANA
 KUHURUMIANA
Kwamba unapokuwa umembebea mwenzi wako unakuwa UMEMSAMEHE KWA KOSA AMBALO AMEKUTENDEA... Na unapokuwa umemhurumia mwenzi wako maana yake unakuwa HUJAMHESABIA NI MARA NGAPI AMEKUKOSEA!
Hayo ndo yanaleta maana ya MSAMAHA na nikiri kabisa kama Mtu hana upendo ama kuijua thamani ya mwenza wake ni ngumu kutaja MSAMAHA... Msamaha unaendana na upendo pamoja na thamani ya mkosaji, Wakati ambao hasira inainuka ni vyema japo kutumia BUSARA kwa kuziangalia nyakati zilizoweka FURAHA MAISHANI MWENU... Kuanzisha mahusiano ni rahisi sana lakini ni ngumu kuyafurahia Kwani kila ukiwaza ulikotoka UNAONA GAPE KUBWA KWA HUYO ULIYENAYE! Ujenzi wa misingi ya penzi unasimamiwa na wawili wapendanao, Lakini ujenzi wa penzi ambalo umelikuta lilikuwa na Mtu mwingine NI BAHATI KULIFANYA LIWE LA KWAKO... Kumbuka hakuna mahusiano ama ndoa isiyokuwa na mazuri ya kukumbukwa bali HASIRA NDIZO HUTUSAHAULISHA na kujenga chuki, Ni kweli kabisa PENZI LINABADILIKA KUENDANA NA KASI YA UPENDO but nakusihi sio kila kasi inadumu, Ni bora kusema na mwenza wako kwa kile kinawasumbua na mkaendelea ili kulinda BOND "dhamana" ambayo mliishaijenga wenyewe kwa kujua ama kwa kutojua lakini tayari HAMUWEZI KUACHANA KI RAHISI na kila mmoja akasahau MOMENTS ZA RELATIONSHIP YENU laaa kama mlikuwa mnatumiana kwa sababu zenu, Nani atakufanya usahau jinsi ALIVYOKUPA MUDA WAKE? Nani atakupa FURAHA NA AMANI? Nani atakudekeza? Kwa ujinga wako UTAPATA hayo wakati Mtu anakuvuta uwe wake ole wako mmalize wiki moja uwe umempa utamu mara 2 ama mara 3 wallah wanaume HAWAJUI RADHA YA MWANAMKE ila wao wanajua UTAMU... Walivyo wa ajabu hawajui kwamba RADHA ni asilia ya kitu, UTAMU ni kitu kinachotengenezwa😂
Mwanaume hajui kama CHUNGWA LINA RADHA lakini ukimkuta anakula hindi lililotiwa chumvi na pilipili basi anasikia rahaaaaa, Wanawake mjifunze uchoyo walau ukwepe Mwanaume asikuzoeee na kukuona wa kawaida, Kuwa Mwanamke ni TUNU💃
Tunda adimu, tunda ambalo mchana ni tamu, Usiku ndo usiseme🔥
Muwage mna ijua THAMANI yenu Basi jamaniiii🤷🏽‍♂
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria💪🏽
 — in Tunduma, Mbeya, Tanzania.
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU