*------•<°○●🕸●○°>•------*
Tufahami kuwa tukitska kuifanya ndia yetu iwe na mapenzi zaidi ni kuwa naribu na wenzetu wa ndoa kimapenzi.
Na ukitaka kumteke mwenza wako akili awe kila siku ywakuwaza basi mfanyie vitendo vya kimapenzi.
🍇Ifuatayo ni michezo ya kimapenzi unayoweza mkacheza wewe na mwenza wako mkiwa nyumbani kweni
*🍇MCHEZO NO. 1🍇*
Kwanza naanza polepole ni mchezo wa kurushiana mito kwa mume na mke kuweza kuwachangamsha yote wawili. Mnakuwa pamoja , mmoja wenu anakuwa mbali kidogo ila humo humo ndani yaani chumbani. Utaanza kumchokoza kwa kuanza kwa kumrushia mto unafanya kama unampiga hivi na wewe anakuregeshea ila msiwe mmenuna, muwe mnacheka
*🍇MCHEZO NO 2🍇*
Mkiwa mmekaa pamoja mmoja wenu anachukua kitu kama pesa, anakificha kwa mkoni mmoja na mwengine anaagua mkono kilichofichwa kitu hicho na akipata anapigwa mabusu matatu na akikosa anapiga yeye.
*🍇MCHEZO NO. 3🍇*
Mchezo wa kuogeshana bafuni na kugombaniana maji, mchezo huu ametusimulia Mama wa waumini Aisha radhwiya Allaahu anha kuwa alikuwa akifanya mchezo huu na mtume wa Allah.swallah Allaahu allayhi wasalam wakienda kuoga hivyo nasi tuufanya mchezo huu wa kugombaniana maji na sabuni na kuogeshana na huku mkikumbatiana bafuni, mke jitahidi maji uystie udi, asumini, mawaridhi, hiliki na manukato yoyote ili maji yanukie.
*🍇MCHEZO NO. 4🍇*
Mchezo huu ni wa hapo hapo ukitoka chooni umamuambia mwenzko njoo nikubebe, au mnabebana kwa jamu, mnabebana hadi chumbani kisha unamtupa mwenzio kitandani, unambeba mwenzio huku unamtania tania kama unataka kumuangusha vile. Mkishatupata kitandani hapo unamkiss kwa kumpa asante mume wangu au asanta mke wangu. Kidha mnafutana maji na kkupakama mafuta na kuvalishana nguo.
*🍇Kwa leo tutaishia hapa, tutaendelea kujifunza michezo unayoweza kucheza na mwenza wako nyumbani kwenu🍇*
*------•<°○●🕸●○°>•------*
*UKIYAPEMDA YACHUKUE KAMA YALIVYO*
➿➿➿➿➿➿➿➿➿➿