
Uonapo uko kwenye MAHUSIANO ambayo wewe unalilia UHURU kwa mwenza wako, Wakati huo yeye analinda SIRI zake ujue UKO hatarini kupata MFADHAIKO WA NAFSIπ
Uhuru kwenye MAPENZI ni AMANI pamoja na FURAHAπ
Uonapo mwenza wako anakupa nafasi ya mchana tena nje ya nyumbani kwake na awapo nyumbani kwake "USIKU" inakuwa ngumu kuwasiliana nae ujue WEWE NI MCHEZAJI ULIYE BENCH sio kama hutacheza laa hasha UTACHEZA mazee ila huna kipaumbele na pengine wewe mechi zako za ujilani mwema hazina NGAO YA HISANIπ π π
Namba imejaa Kwani kikosi kipo kamili, Maana yake nyumbani Kuna ambaye YUKOπͺ
Janga kubwa kuliko yote ni pale unapomkosa WKEND YULE AMBAYE UNAAMINI UNAMPENDA Yaani jumamosi humuoni, Jumapili hayupo BADO UNATAKA KUJIAMINI UNA MTUπ
Mtu yupo kweli ila MPENZI hunaπ
UHURU kwenye MAPENZI ndo AMANI yenyewe ila ukiishakosa UHURU kwa mwenza wako ujue HAUKO PEKE YAKOπ
#Elista_Kasema_ila_Sio_She