
Kila Mwanaume aijuaye historia ya UUMBAJI WA MUNGU KWA VIUMBE WAKE hakosi kuijua maana ya MWANAMKE kutokana na ubavu wa Mwanaumeπ
Mwanaume akijua kwamba HANA NAMNA YA KUKWEPA UJIO WA MWANAMKE MAISHANI MWAKE huyo ameikomboa nafsi yake na kuujenga MOYO WAKEπ
Mwanaume akikubari kwamba WANAWAKE NI JESHI KUBWA atakuwa amekubaliana nami kwamba WANAUME NI MATEKA KWA MWANAMKEπ
Huwezi kupewa FURAHA NA MWANAMKE ikiwa wewe hujui namna ya kumfanya Mwanamke wako AFURAHIE.
Mwanamke akifurahia ujue UMEIFANYA NAFSI YAKE KUACHILIA SIRI ZOTE ZA MOYO WAKE PAMOJA NA MWILI KUITIKIA UJIO WAKO MAISHANI MWAKEπ
Unataka kummiriki Mwanamke na hujui kumpa BURUDANI YA NAFSI YAKEπ
Pengine utakuwepo kama MLINZI ila nikuambie wazi Kuna MTU ATAKUSAIDIA KUMPA AMANI wakati huo wewe utakuwa kinara wa NGURUMO KAMA SIMBA ALIYE NA NJAA unategemea swala utamla?
Pendelea kukubari kwamba WEWE NI MATEKA ili ujitume kumfurahisha MTOTO WAKIKEππ»ββ
Ukikataa kama wewe sio MATEKA KWA mkeo ujue wazi ATAMTEKA MWINGINE wewe uje kuwa MKIMBIZIπ€πΌ
#Elista_Kasema_ila_Sio_She