*-----•<°○●π●○°>•-----*
πHaipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondok
πHaipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe
πHaipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe
πHaipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe.
πHaipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu
πHaipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono
πHaipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea.
πHaipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu.
*πEbu badilikaπ*
πMume akiitaji chakula mtengee vizuri
πMpakulie mumeo ukiwa umetulia kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu
πMlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe
πKaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe ukiwa msafi na umependeza tu kiasi, chakula kiingie tumboni vizuri.
*πMume ana hadhi yake bhanaπ*
πRaha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni
πusimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu
πMapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga
πjinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako
*-----•<°○●π●○°>•-----*
*Ukiyapenda yafanyie kazi*