-->

KWANINI WANAWAKE WALIO SINGLE WANA NAFUU YA STRESS ZA MAPENZI KULIKO WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOA?

Image may contain: 2 people, people sitting

Kulijua hili wala huhitaji kumaliza DEGREE🎓
Jibu lake ni dogo sana;
"MATUMAINI NDIYO YANAYOUMIZA IKIWA HAYAKUFIKIWA YALIVYOTARAJIWA"
Kwamba Mwanamke anapokuwa hajaolewa ama ameachika ANAWEZA KUAMUA NAMNA YA KUISHI NA MWANAUME lakini Mwanamke ambaye yupo kwenye NDOA ni ngumu kuamua namna ya kuishi na Mwanaume kwa sababu tayari yupo chini ya Mtu.
Na ndo maana ukifuatilia maisha ya Mwanamke kabla ya NDOA ama baada ya NDOA Kuna walau FURAHA NA AMANI ambayo anajitengenezea mwenyewe kuendana na hali pamoja na mazingira, kinacholeta FURAHA NA AMANI kwenye NDOA ni KUPEWA MAANA YA NDOA wala sio Swala la uhakika wa kuishi na Mwanamke au Mwanaume paa moja🏠
Kuna wanaoishi nyumba🏡 moja na wala hawajui maana ya NDOA kwa sababu walikurupuka kuingia kwenye NDOA mwisho wao wakaishi Kwa MAJUTO huku wakishindwa kujikomboa kutokana na FAMILIA AMA JAMII ZAO.
Kwa Maana halisi unapata majibu kwamba;
Mwanamke aliye kwenye NDOA ndiye mwenye uhitaji wa MAPENZI kuliko asiye kwenye NDOA laa kama alikutana na Mwanaume aliyeingia kwenye NDOA kwa kuijua THAMANI YA NDOA.
KWANINI NIMESEMA HIVYO?
Wanaume wengi akiishaoa anakuwa na HAKIKA KWAMBA MKEWE HANA TENA PA KWENDA😅😅😅
Kila bin adam anapenda KUPENDWA ila kiumbe Mwanamke huyo ni kiumbe ambaye anategemea UPENDO kuliko kitu chochote DUNIANI na usipompa UPENDO lolote ulitarajie ngw'ana wanhe😅😅😅
Na ndo maana usipoonyesha UPENDO kwa Mwanamke wako wala usijivunie kuwa ni MKEO inaweza ikawa kwa sababu aliishakosea na hana njia kujiondoa kwako ki uhalisia ila ki nafsi Hayupo na wewe, Na ndani yake hakuhesabu tena kama wewe ni PARTNER WAKE kama huamini hili MNYIME UPENDO MKEO HALAFU MFUATILIE LAZIMA WALA SIO OMBI ATAKUWA NA COMFORTER MAHALI ambaye huyo anajaribu kukuimarishia ndoa yako Kwani akiishapata upendo nje anarudi ndani kulinda HESHIMA YA NDOA ili jamii ijue kama inavyojua, Kinyume cha hapo NI MAZOEA YANAWAWEKA PAMOJA.
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 💑
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU