-->

Kwanini Wanawake wa sasa wanataka uhuru zaidi kwenye mahusiano na ndoa zao kuliko kumheshimu Mume?

Kwanini Wanawake wa sasa wanataka uhuru zaidi kwenye mahusiano na ndoa zao kuliko kumheshimu Mume?
Majibu ni rahisi mno;
• NI KWA SABABU WANAWAKE WA LEO WANAAMINI WAUME WA SASA HAWAWEZI KUWA SEHEMU YA FURAHA NA AMANI ZAO JAPO WANAJENGA NAO MAISHA💯
Na hapo ndipo MAHUSIANO NA NDOA za sasa zinahitaji PESA ILI KUDUMU 😂😂
Mwanaume ambaye hampi FURAHA NA AMANI Mwanamke wake unamkuta amekamatika mahala kwenye PENZI LA ULAGHAI vivyo hivyo wanawake wasowatii waume zao nao wameangukia kwa vi-ben ten wakipewa MAPENZI YA KULIPIA 😂😂😂
Uhuru sahihi kwa Mwanamke ni kuwa na Mume ajuaye majukumu yake sio mpaka Mwanamke aombe hela ya sabuni huku kila siku unamkojolea😎
Japo kwa sasa Wanawake wanataka uhuru ili kujazia yanayopungua kwenye MAHUSIANO NA NDOA ZAO 💯
Mwanaume shituka;
UONAPO MWANAMKE ANADAI UHURU WA KUTOFUATILIWA ANAFANYA NINI NA ANATOKA WAPI NA KWANINI JIONGEZE HAUPO PEKE YAKO
Maana halisi ya Mke ni UTII sasa kama Mwanamke anapingana na maandiko ya MUNGU wewe ni nani hata umuweze?
Sio kila Mwanamke anafaa kuwa MKE wengine wapo kwa FAHARI YA MACHO ila usithubutu kuwa nae wallah UTAJUTIA😂😂
Maana halisi ya MAPENZI NI UAMINIFU kwamba Mwanamke mmoja na Mwanaume mmoja kuamua kuwa wamoja 💯
Haya mambo ya UHURU KWENYE MAPENZI MWANAMKE UNATAKA ILI UWE NA MAFIGA MATATU🙄
Ndo maana mnawapa akili wanaume nao WANAWADANGIA SIKU HIZI SHENZI KABISAAAA 😂😂😂
Unakuta Mwanamke ni msiri wa simu kiasi kwamba PASSWORD ukitaka kuikariri macho yanapatwa malengelenge Mwanamke wa hivyo wa nini? Waachie wajanja wajilie tuuuuu, Heshima ya Mwanamke KUJITUNZA Yaani ajionee huruma kuvuliwa nguo 👙 na kila Mwanaume, Lakini hawa wanaojidai SUPER WOMEN'S kisa wana pesa wasubilieni uzeeni kwa sasa waachieni MA-BEN TEN wajipatie ridhiki🔊
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU