-->

KWA SASA MAPENZI NI UWANJA WA GOMBANIA GOLI KILA MMOJA AKITAKA AFURAHI YEYE KWANZA.

Image may contain: 6 people, people smiling
Mwanamke ijue siri hii na ikupe kujua THAMANI YAKO kwa namna MUNGU alivyo kuumba;
"WANAUME WAOAJI NI WACHACHE KULIKO WANAWAKE WANAO HITAJI KUOLEWA"
Maana yake ni wazi kwamba kila Mwanamke anayo njozi ya KUFURAHIA MAPENZI kwani ili ufurahie ni mpaka uwe na Mwanaume ajuae THAMANI YAKO.
Wanawake walioko kwenye ndoa💑 kwa uchache wao nao kila kukicha wakitafuta MBADALA baada ya wenza wao kuwa chanzo cha MAUMIVU YAO😭😭
Wasichana wadogo kutwa wakilia kwa kudanganywa, Yaani hakuna Mwanamke aliye salama kwani hata KIKONGWE ukimuuliza atakwambia hakufaidi usichana wake, Hakuna pa kukimbilia zaidi ni KUKUBALI YALIYOKUTOKEA NA KUKABILIANA NAYO.
MAKOSA ndiyo humjenga mtu.
UDHAIFU ndiyo huleta KUJIAMINI.
KUKATALIWA ndiyo njia kuu ya UKOMBOZI.
Lakini pia unapoonekana huna thamani ndipo THAMANI YAKO INATAMBULIKA ni muda tu kuenenda na kupokea TESO lako kwa wakati utapitia MAGUMU kutokana na ukweli kwamba UPENDO ULIOUBEBA JUU YAKE UNAKUGHARIMU😭😭 lakini hakuna lililopata KUANZA🔛 likakosa MWISHO🔚
Mtu kwa akili yake ni rahisi kuamini kwamba AMEKUUMIZA lakini maumivu hayaishi milele, Kuna gumu kama kufiwa na mzazi? Mbona ulizoea na maisha yakasonga iweje MTU AMBAYE ALIKUJA KWA SURA YA BIN ADAM👨👩 NA NDANI YAKE NI CHUI🐆?
Kila KOVU NA HISTORIA YAKE RAFIKI ili kujua maisha ni kama NGURUMO ZA SIMBA Jiulize mambo haya;
 KIPINDI HAKUWEPO ULIISHIJE?
 KWANINI AMEAMUA KUKATISHA FURAHA YAKO?
 KABLA YA KUMJUA ULIKUWA NA NANI?
 NI ATHALI ZIPI UTAPATA ASIPOKUWEPO?
 MATESO HAYA NDO MARA YA KWANZA KUYAPATA?
Niamini ukisikia ngurumo za SIMBA ujue huo ni upepo umegeukia kwako hata ukajua mahala hapo Kuna SIMBA ila SIMBA haungurumi akiwa Karibu yako FULL MNYATO😅😅
Ndivyo walivyo WALAGHAI WA MAPENZI kutwa kulanda mabarabarani ukimuona kama UMEPATA lakini kumbe mwenzio anakuwinda kwa REFRESHMENT ZAKE akiisha kupata ANAKULA NA KUKUMWAGA 😭😭😭
Usivunjike moyo, usilie wala kuhudhunika LIFE GOES ON🔜
Ni kitambo kidogo tu HILI NALO LITAPITA na kubakia kama KOVU huku KIDONDA kikiwa kimepona japo huwezi kusahau MAUMIVU ULIYOYAPATA Kwani kila ukiona KOVU ile kumbukumbu itajirudia but USIJARIBU KURUDI ULIKOTOKA ni hasara kwako.
Kuzaliwa kwa IMMANUEL Yaani MUNGU PAMOJA NASI ikawe ukombozi kwa MATESO YAKO👏
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU