Ikiwa UNAMPENDA usimchagulie mahala pa kuongozana nae, Usimpe heshima nyumbani tu bali muonyeshe kuwa YEYE ANA NAFASI KUBWA MAISHANI MWAKO hivyo nakumheshimu popote pale, Usiishi nae kwa maneno tu bali MATENDO yaubebe uhalisia wa pendo lako kwake japo maneno yana nguvu kuuponya moyo lakini kumbuka matendo huleta FURAHA... Ukiona mpenzi wako hayuko huru kutembea nawe barabarani ujue kuwa KUNA SABABU na mara nyingi sababu hiyo ni woga wa kuharibu upande wa pili Yaani Kuna MCHEPUKO! Ulivyo mshamba unawatambia wenzio ooooh nilikuwa na mpenzi wangu tumezurula weee huku umesahau gari lina full tented, Kila mkipanga kuonana mnakutana Chumbani tu, Ukiomba upelekwe beach anasema kachoka, Ukiomba utambulishwe kwa ndugu visingizio kibao, Ulivyo na hutuma akisema anamiss tendo la ndoa FASTER NYWELE ZINAKUSIMAMA.... Ukiona yote hayo yakiendelea basi ujue wewe nini BABIE ila Kuna SWEETIE nae ana level kama yako halafu mbaya kuliko yupo kubwa lao HONEY basi hapo sasa itakubidi usimamie nafasi yako ya SPARE TYRE! Shitukaaaaa.