-->

IFIKAPO MAHALA MAHUSIANO AMA NDOA IKAWA KIKWAZO KWA MAISHA YAKO NI VYEMA KUJITATHIMINI UPYA

 Image result for Unapiga kelele wakati wa tendo?Soma hapa

kuliko kuendelea kuishi katika mateso yaliyojaa majuto.... Vile mlikutana na kupeana sababu ya kuwa pamoja ndivyo inatakiwa kuimaanisha maana hiyo, Kuna Mzee aliwahi kuniambia kuwa "MWANANGU USIONE UNAGOMBANA NA MKEO UKADHANI NI WEWE TU UKO KATIKA TATIZO HILO LA NDOA KUMBUKA WAPO WENGI WANAKUWA WAHANGA WA MIZOZO KATIKA NDOA ZAO KWANI MABATI YAMEFICHA MENGI" Ni jambo la busara kufuatilia mienendo ya mahusiano ama ndoa yako ili kuweza kubaini kama upo mahala salama, Ni utumwa kuishi na mtu ambaye unaamini kabisa hana upendo nawe wakati wewe unampenda, KUJIPA BP KWA AJILI YA MTU ASOKUPENDA NI USHAMBA.
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU