-->

SIRI YA UTAMU WA NDOA NI KUMPATA MTU SAHIHI, JE! WAZIJUA AINA KUU ZA WANAWAKE???.....

Image may contain: 2 people, people smiling

Wapo wanaume wanaojutia maisha ya ndoa na kutamani hata kurudi maisha ya ubachelor sio kuwa ndoa ni mzigo la hasha bali wake waliooa wamegeuka kuwa majanga katika maisha yao. Ila wapo wanaume wanaofurahia mno maisha ya ndoa kiasi cha kujilaumu kwanini walichelewa kuingia katika ndoa ila sio kuwa wanapenda ndoa tu la hasha bali ni aina ya wanawake waliowabahatisha ambao hakika wameziteka akili zao vilivyo kutokana na ubora wao ndani ya ndoa.
Hapo ndipo tunapopata aina kuu 2 za wanawake katika ndoa, leo nimewaletea aina hizi kuu 2 za wanawake katika ndoa na tabia zao kuu;

A) MWANAMKE MPUMBAVU

1.Anamkomoa mmewe
2.Analala mapema kabla ya mmewe
3.Anachelewa kuamka kabla mmewe
4.Mbishi,anahisi kuonewa mda wote
5.Anadhani kumnyima mmewe uny-
Umba ni kumkomoa
6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu
Mafanikio za familia za watu
Wakati ye ndo kigezo cha kero.
7.Hataki kuzungumzia mshara wake
8.We unajenga family ye anajenga
Kwao
9.Mkikaa tu anaanza umbea kuponda
Ndugu na majirani
10.Haridhiki(mwanaume unatoa jasho ila ye
anakudiscourage wakati
Ye akishuka kwenye kochi anakaa
Kwenye jamvi na baadaye anelekea saloon
kupiga umbea kuhusu mama joyce kafumaniwa
gesti.
11.Nyumbani housegirl hapunziki.
12.Anajali ajira yake hataki kufuatiliwa mambo
yake.
13..Anakera sana,hana nidhamu ya matumizi ,kajikata kucha halafu anadai
apelekwe Agha Khan au India.

14. Hana mawazo ya kimaendeleo wala ujasiriamali yeye kila akikaa ni umbea, kukusimulia tamthiliya na habari za maisha ya watu.

15. Hana plan mpya wala ubunifu kimaisha anaoweza kukushirikisha au kukushauri yeye akili yake yote ni whatsapp Facebook na instagram kutwa nzima anachat magroup ya watsap aliyojiunga ni ya mapenz, mahaba, umbea na mizaha

16. Hana mda wa kusali au kumuomba Mungu au kufanya ibada na mmewe au familia yake.
NOTE:akikutana na mwanaume kichwa ngumu
anamrudisha kwao ameshazalishwa watoto
3,anaenda kwa mwingine anaongezewa watoto
2,anazinguliwa anapigwa toto lingine mmoja
mtaani,unakuta kazaa na kila familia mtaani
baadaye anaishi ghetto au kwao.

B) MWANAMKE MWEREVU.
1.Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby
amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke
adimu sana)
2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo
zishapigwa pasi(jamani hiyo kazi kafanya saa
ngapi?unajikuta unaenda kazini upo kwenye
daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u
honey"
3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu
hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa hujui
anazifua saa ngapi?
4.Umejipunzisha kwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia mesaj
Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj?unaishia kusema
Thanks baby.
5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza
anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni
mkweli(ni baraka kwenye familia)
6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe akija
anasimamisha pua juu kama kitimoto)
7.Anakupa moyo kwenye wakati
mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri (baby
hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa kama vipi
tusimamie ule mradi wangu mpaka
uajiriwe)khaa jamani yupo kama huyu fb?
upareni?uchagani?usukumani je?
8.Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha
mtoto wako maadili ya kimungu(wow heri tuzae
tu wa pili)
9.Anakufariji.(Baby usiogope ni mapito ya
dunia,jikaze mme wangu,nipo upande
wako),hehhehe hata ukinuna unabembelezwa.
10.Mwenye kushukuru na suprises,hawezi
kukusahau,(baby hii zawadi kwa ajili
yako,umenisaidia sana mme wangu,you changed
my life,""baby leo birthday yako,khaa unaona
keki mezani"),kuna mke kama huyo?
11.Ana uhakika mimba yako ("baby nina
suprise,kumbe mwezi uliopita ulinipa toto,nina
mimba yako(siyo ooh khhaaa tumefanya
mapenzi juzi tu umenipa dragon mwingine)
NB.Mwanamke kama huyu ni blessing,kila jioni
unaona toto zako
zimekaa kwenye kochi yaani vitoto vizuri miguu
mifupi hata vikikaa kwenye kochi miguu hazifiki
kwenye sakafu vinaangalia cartoons.

Je! Wewe mwanamke uliyeolewa au unaetarajia kuolewa upo kundi lipi hapo? Jitafakari kisha badili tabia zako mbaya hakikisha unakua baraka kwa mme wako yaani unakua MKE MWEREVU.

Nakutakia siku Njema Mungu Akubariki na kukulind
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU