
Usitrajie raha ktk ndoa bila karaha
Usitarajie kila kitu kiwe shwar ktk ndoa bila misukosuko
Ustarajie kushiba kuvaa kuoga bila ya kukosa cha kukosa kitia kinywani au kuvaa mwilini ni jambo la kawaida ktk ndoa
Ustarajie aliekuoa au uliemuoa awe mkamalifu utakavyo ww bila shaka utie akilini kwamba chochote kizuri kina ubaya na uzuri wake
Ustarajie kubembelezwa ktk ndoa bila maneno makali bila manung'uniko ktk ndoa bila shaka kuna kusutwa kupigwa kufukuzwa na hata kuchukiwa
Ustarajie vyote ktk ndoa ni vyenye kufurahisha kuna vle vya kuhuzunisha kukutia majonzi kukupa mihangaiko mfadhaiko na hukupa ktk lindi la mawazo
Ustarajie kupata mzuri msafi mwenye hekima na busara ktk ndoa kuna wenye hasira bila busara wenye midomo mikali mno wenye kupungukiwa uwezo wa kutafakari
Ndoa ni chuo ni ibada na kila ibada inataka uvumilivu wa hlai ya juu sote tuwe wavumilivu ktk ndoa zetu Allah atupe moyo wa kusubir
ππππππππππππππ