-->

Huwezi kumaliza upweke wa MAPENZI kwa kuwa mkimbizi kwenye MAPENZIβ›”

Image may contain: 3 people, people sitting and close-up
Ni nani aliyewahi kuyashinda MATESO YA MAPENZI KWA KUYADANGANYA MAPENZIπŸ€·πŸ½β€β™‚ Maana tatizo sio kuyafubaza mapenzi bali tatizo ni KUTOTATUA CHANZO CHA TATIZO LINALOKUKABILI! Huwezi kupata ufumbuzi katika UNAYOPITIA KWENYE MAPENZI ikiwa wewe mwenyewe hutaki kukubari kwamba UKO KWENYE MATESOπŸ™†πŸΏβ€β™‚ Kinachoua juhudi za UKOMBOZI KWENYE MAPENZI ni KUONA MABADILIKO YA YALE YAKUUMIZAYO ukidhani kwamba mwarobaini wa tatizo lenu limepata MUUJIZAβ›”
Rafiki yangu TABIA NI KAMA NGOZI huwezi kuibadili ikawa na ubora wa uhalisia wa rangi uitakayo, Uonapo mambo hayakwenda vizuri kama ulivyotarajia JICHUNGUZE pengine ni wewe unamsababisha mwenza wako awe mjinga ama ni yeye na ujinga wake, Huwezi kuubadili UPEPO WA KIANGAZI UVUME KIPINDI CHA MASIKAπŸŒͺ Mapenzi hayalazimishwagi bali yanajengwa, Fikiria zaidi AMANI kuliko hata FURAHA maana usipoipa AMANI NAFSI YAKO kamwe hutokaa uione FURAHAβ›”
Maana FURAHA NA AMANI ni pacha wasiofanana.
Share:

Related Posts:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright Β© 2025 UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU