-->

HIKI NDICHO KINACHOSABABISHA NDOA NA MAHUSIANO MENGI KUTO KUDUMO SIKU HIZI

Image may contain: one or more people, people standing, grass, outdoor and nature

KUPATA ndo kunaliliwa na wengi kuliko WAKIPATA na hilo ndilo limekuwa janga kubwa kwenye MAHUSIANO NA NDOA za sasa.
Yaani namna Mwanaume/Mwanamke anapokuwa amemuona Mwanamke/Mwanaume hali ya udhaifu wa ki mwili na tamaa ya MOYO hujawa shauku kubwa ya KUMPATA lakini akipewa nafasi shida inakuwa KUDUMU.
Wanaume👦 wanajiandaa kujenga mionekano ili kuwakamata wanawake, Wanawake👧 nao wanajikoki kuhakikisha kwamba Mwanaume atakaye mtazama ameze MATE😛
Naelewa na kuona namna nzuri ambayo inasababisha KUMVUTIA MWINGINE ila tatizo langu lipo hapa;
"UNA HAKIKA GANI KAMA MVUTO HUO UTAMFANYA AVUTIWE NAWE KILA SIKU?"
Upo mvuto halisi wa mtu na majaaliwa yake kwa MOLA wake, Huo ndiyo ukimvuta mtu unaweza kuwa na hakika ya kumvutia DAIMA japo usijiamini sana kumpa nafasi anayevutiwa nawe Kwani Kuna MABADILIKO YA TABIA MWILI hayo hubadilisha mvuto halisi japo hutatoka kwenye UHALISIA WAKO but ujue hutakuwa kama ulivyo vutia enzi za ujana wako.
Mahusiano/ndoa inapopatikana kwa MUONEKANO mara nyingi haiwezi kudumu, Kwa sababu uyaonayo leo niamini tarehe kama hii na mwezi kama huu mwaka ujao UNAWEZA USIYAONE KAMWE🚫
Jiulize kama hutayaona nawe hayo ndo yalikuvutia UTAKUWEPO KWENYE PENZI HILO?
Ndo maana kwa sasa kila mtu anapambana kulinda MOYO wake kuliko kumlinda mwingine, Maana uhakika wa usalama wa PENZI ulilopo ni BAHATI NASIBU Yaani kama ni KUBET Basi uwe makini mno, Yaani kwa sasa KUWA NA MAHUSIANO/NDOA ukamaliza Mwaka mzima japo kwa MIGOGORO ya kawaida HUNA BUDI KUFANYA SHEREHE YA UNIVERSALLY ðŸŽ‰ðŸŽ‚
Mahusiano na ndoa za wakati huu ni kama JOJO FAKE ukiibugia mdomoni inakuwa tamu kwa sekunde na baada ya hapo NI KAMA UNATAFUNA TEMBELE😅😅
Chanzo cha matatizo ya Mahusiano/ndoa za sasa ni MAPOKEO YA UHITAJI kwamba mtu yupo tayari KUJARIBU kuliko KUHITAJI na hilo ndilo limewagharimu wengi, Wakati ukijaribu Kuna mawili KUPENDA ama KUACHA lakini tayari UMETUMIKA😎
Fikiria zaidi UHITAJI WAKO kuliko KUJARIBU hiyo sio hasara tu lakini pia ni FEDHEHA😷
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria🔨
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU