
Mwanamke ana mizania kwenye MOYO WAKE na ikiwa utawekewa MPINZANI maana yake Mwanamke atakuwa anaitafuta BALANCE na uzito utakapo angukia BASI UPANDE MWINGINE HATA URUKE SARAKASI ni sawa na Mzungu kukata Mauno kwenye KIGODORO😅😅
Walau kama Mizani ikielemea kwako ila kama ikimuangukia mpinzani wako niamini NAKWAMBIA HUWEZI KUPENYEZA NENO LIKAINGIA AKILINI MWA MKEO.
Hiyo ndiyo FALSAFA ya Mwanamke na TRUE COLOUR yake, Hakuna kitu kibaya kama Mwanamke akianza kukuhesabia MAKOSA YAKO niamini na ujue ni MBAYA KWAKO⛔
Migogoro ikidumu sana kwenye PENZI lenu, kwa Mwanamke ni kama UPEPELELEZI wa mwenendo wa PENZI husika, Na ukiona Mwanamke amezidisha Maswali na jinsi anavyotaka UTULIVU WA PENZI LAKE BASI ujue kuna namna anatengeneza MOYO wake utambue makosa yako, Baada ya hayo tarajia kuanza kuona MISIMAMO AMBAYO HUKUWAHI IONA baadaye Majibu ya kibabe yatatamalaki kinywani mwake na MWISHO kabisa ni wewe kubakia ZILIPENDWA⚠
#Elista_Kasema_ila_Sio_She