-->

Hii ni kwenu dada zangu 💃👇

👇
Dada wewe hapo ulipo, hata uwe na sura nzuri vipi au uwe na sura mbaya vipi, kaa ukijua kuwa umeumbwa kwa ajili yangu mimi mwanaume😂😁
Mambo ya kuleta nyodo😎,
Kunipandisha na kunishusha kaa ukitambua kuwa maringo yana mwisho wake, unakuta binti unamtongoza una lengo la kumwoa alafu analeta dharau za kijinga ambazo hazina mshiko,
Halafu umri wake ukishaenda mnajipeleka kwa watumishi ety muombewe kwa sababu hakuna wanaume wa kuwaoa, ivi mwanaume gani anayeweza kumwoa mwanamke mwenye dharau ???
Uzuri wako, na urembo wako una mwisho wake, jiulize hivi kabla yako walikuwepo wazuri wangapi na wapo wapi ?? Acha dharau wewe na uache ujinga, ety mnakimbilia kusema mwanaume suruali, vp ulitaka tuvae sketi kama nyie ??
Wakati mwingine tumia akili na sio unaleta nyodo za kijinga, na ndio maana mnawapa wazazi wenu tabu sana, Mwanamke mwema ni nani awezae kumwona , ???
Halafu Mwanamke Sogea Apa Kidoogo Nikwambie Kitu
Kuna mke mwema na kaa ukijua ya kuwa mke mwema
Hana dharau,
Wala hana kiburii,
Yupo mwanamke ameumbwa kwa ajili mwanaume fulani na sio kwa ajili ya wanaume ,
Fungueni akili acheni kupenda hela kama mlizaliwa nazo na kama unazipenda hela tafuta za kwako,
Punguzeni nyodo na muache dharau, la sivyo mtazalishwa , mtachezewa na kuachwa.
Mwili wako sio jalala kwamba kila Mwanaume atupe taka zake hapo, ila msipotumia akili mara nyingi sehemu za siri ndizo zitakazoumia! #MkakaFulani
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU