-->

MBINU MPYA ZA WANAWAKE WA SIKU HIZI WANAO SAKA NDOA KWA NGUVU...NI NOMA SANA


Siku ya kwanza atakuja na chupi 2, moja anaifua na kuiacha bafuni,nyingine anavaa asubuhi wakati
anaondoka...
Siku ya 2 anakuja na khanga,anaivaa usiku,asubuhi anaianika nyuma ya mlango anaondoka...
Siku ya 3 anasahau pete na hereni juu ya meza anakwambia 'Honey nitunzie nimesahau hereni zangu mezani.
Siku ya 4 anakuja na nguo 2 na vipedo vya kubadilisha na viatu pea 2,anavua high heels anaweka kwenye Shoe rack,asubuhi anaondoka na flat shoes kwenda chuo.
Baada ya mwezi chumba chako kinakuwa na vitu kadha wa kadha,na ole wako uvihamishealipoacha,kesi zinaanza...
Hao ndo Wanawake wa kileo,akija na begi zima si utamuuliza Vipi mwenzangu na utamkimbiza...Anahamia taratibu.....
Mwisho wa siku dressing table yako iliyokuwa
ina perfume na mafuta ya Rays inakuwa imejaa hereni na 'Foundation'... My Brother,huna haja ya kuuliza,NDIO KASHAHAMIA HUYO....wewe kanunue vyombo vya ndani umeshaoa hivyo au ulidhani hana akili kuendelea kuja na kuondoka huku ukiendelea kula bila wasiwasi?
Kifuatacho utaambiwa,''Honey I miss my days/periods',
Zamani nilijua ni Simu za mkononi tu ndio zina Missed Calls, Siku hizi kuna Missed days,ukiambiwa hivi tu ju imekula kwako na jiandae kuweka pesa za labour na pampas mapemaaaa, inawindwa ndoa kwa akili zaidi ya upepo wa kisulisuli...
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU