-->
Showing posts with label AFYA. Show all posts
Showing posts with label AFYA. Show all posts

[WANAWAKE TU ] JIFUNZE NAMNA YA KUTENGENEZA SHEPU YA KUVUTIA

UTAMU KITANDANI APP
Hakuna ubaya wowote kwa mtu kutaka kupendeza. Swala la kuonekana mzuri au kuwa mtanashati limekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu hususani upande wa dada zetu. Si kitu cha ajabu maana tangu enzi za mababu , tunasoma katika historia jinsi mwanamke alivyosifiwa kwa uzuri na urembo wake. Swala la uzuri na urembo wa mwanamke linajadiliwa mara nyingi katika aya mbalimbali za misahafu ya dini zetu, kuonesha ni jinsi gani ambavyo hata Mungu mwenyewe anavyouthamini uzuri na urembo wa mwanamke. Si ajabu kuona jinsi ambavyo makampuni makubwa yanayojishughulisha na utengenezaji wa vipodozi na nguo, vitu ambavyo vinachangia sana katika kumfanya mwanamke aonekane mzuri na mrembo, yanavyotengeneza faida kubwa.
Sikatai kwamba kuna uzuri wa kuzaliwa, la hasha. Ni dhahiri kabisa wapo watu waliojaliwa kuwa na muonekano mzuri ambao wamezaliwa nao. Na mtakubaliana na mimi kwamba kuna baadhi ya vitu katika miili yetu ambavyo hatuwezi kuvibadilisha hata kama hatuvipendi, lakini habari njema ni kwamba asilimia kubwa ya muonekano wa sura na miili yetu waweza kubadilishwa, na kuendana na matakwa yetu. Siongelei wala sishauri utumiaji wa madawa au njia nyingine zenye madhara katika mwili wa binadamu. Bali naongelea jinsi ambavyo mfumo wa maisha waweza kukusaidia kupata muonekano unaoupenda bila kuwa na madhara yeyote ya kiafya katika mwili. Usifikirie sana, hapa naongelea vitu vya kawaida kabisa katika maisha yetu ya kila siku visivyo kuwa na gharama yeyote zaidi ya muda. Naongelea mazoezi na lishe bora.
Mazoezi ya kutengeneza umbo
Viko vitu vingi vinavyoelezea muonekano wa mtu. Sura na umbo la mwili ni sehemu kubwa na muhimu katika muonekano . Nadhani mtakubaliana na mimi kwamba, kwa dada zetu muonekano wa nyonga na sehemu za makalio unachangia kwa kiasi kikubwa sana katika uzuri na muonekano kwa ujumla. Hili limeonekana dhahiri siku chache zilizopita kulipotokea wimbi kubwa la kina dada kutumia kemikali zilizoaminiwa kuongeza na kuzipa maumbo mazuri sehemu za nyonga na makalio yao. Habari njema ni kwamba, huitaji kutumia madawa ambayo yanaweza kuwa na madhara kwa afya yako ili kupata nyonga na makalio ya ndoto yako. Mazoezi na lishe sahihi vinaweza kabisa kukupatia nyonga na makalio uliyokuwa ukitamani siku zote. Leo hii nitaongelea aina ya mazoezi yanayosaidia kutengeneza sehemu za nyonga na makalio na kuzipa muonekano unaoutaka.
Wataalamu wa mambo ya mazoezi wanasema, mazoezi mazuri kwa kina dada ni mazoezi ya sehemu ya chini ya mwili. Hapa ninamaanisha mazoezi yanayohusisha misuli ya miguu, mapaja, nyonga na makalio. Sababu ya kusisitiza mazoezi haya kwa kina dada ni kutokana na ukweli kwamba, wakati mazoezi haya husaidia kiafya, pia yanasaidia kuzipa muonekano mzuri sehemu za nyonga, mapaja na makalio.
Mazoezi yanayokuza na kuyapa makalio na nyonga muonekano mzuri
Zoezi muhimu kuliko yote, ambalo kwa bahati mbaya kinadada wengi hulikwepa, ni zoezi lijulikanalo kitaalamu kama ’’ squarts ’’ yaani kuchuchumaa kwa kiswahili rahisi. Kufanya squarts, waweza tumia uzito au waweza fanya squarts bila kutumia uzito wowote. Unachukua uzito unaoweza kuhimili, na kuuweka mabegani (kumbuka uzito huu unatakiwa uwe umewekwa pande zote kwa uwiano sawa ukiunganishwa na bomba ambalo ndiyo unaliweka mabegani). Simama wima miguu yako ikiwa imetengana kiasi, halafu chuchumaa taratibu, na kunyanyuka taratibu. Rudia mzunguko huu mara 6 mpaka 8, kwa kila seti, na ni vema kufanya seti tatu mpaka tano. Kumbuka waweza fanya squarts bila kuwa na uzito wowote, cha muhimu ni kuikutanisha mikono yako pamoja nyuma ya kichwa wakati wote unapokuwa unachuchumaa na kusimama. Ni muhimu kufahamu kwamba, kama unataka sehemu zako za makalio kuongezeka ukubwa, basi ni vema kutumia uzito.
squatrs – tanzmed
Squarts bila uzito
squarts – na – uzito
Squarts na uzito
Zoezi lingine ni lile la kukaa mkao wa wanyama.
Unapiga magoti na kuweka mikono yako chini kama vile unataka kutembea kama mbwa au paka. Taratibu unarudisha mguu wako nyuma kama kwamba unampiga teke mtu aliye nyuma yako (kama ng’ombe au punda anayepiga teke la kinyumenyume). Unafanya hivyo taratibu na kuurudisha mguu bila kuweka goti chini. Unarudia mara 6 mpaka 12 kwa mguu mmoja, halafu unafanya hivyo hivyo kwa mguu wa pili. Ni vema kufanya mizunguko mitatu mpaka mitano ya zoezi hili. Muhimu ni kwamba, unaporudisha mguu nyuma, usiunyooshe kabisa, ili msukumo mkubwa usikike kwenye sehemu za makalio. Zoezi hili ni zuri sana kuyapa makalio umbo na muonekano mzuri. Pia ni zuri sana katika kuondoa maumivu ya mgongo.
Mazoezi
Yako mazoezi mengi yanayosaidia kuongeza na kuyapa makalio muonekano mzuri (shape). Ila niliyotaja hapo juu ni baadhi tu ya mazoezi ambayo waweza fanya hata nyumbani. Kwa wenye nafasi na bahati ya kwenda kwenye sehemu maalumu za mazoezi (gyms), ziko mashine nzuri sana zinazosaidia kuyaweka makalio yako katika umbo na ukubwa unaotaka. Waweza tumia smith machine kwa squarts.
Waweza fanya “ quadriceps curls ’’, ´´leg press ’’ na mazoezi mengi kwa kutumia mashine maalumu zinazopatikana kwenye gyms mbalimbali. Ukweli ni kwamba kupata makalio yenye muonekano na ukubwa unaoutaka, zingatia mazoezi yanayohusisha sehemu ya chini ya mwili . Si swala la kujaribu, bali ni kitu kinachojulikana kisayansi na kiuzoefu.
sukuma – mguu
Leg press – Mazoezi ya miguu
Mazoezi ya kupunguza makalio bila kupoteza muonekano wake mzuri
Ni jambo lililo wazi kabisa, kwamba wakimbiaji wengi wa kike wa mbio fupi (mita 100 na 200), wana maumbo mazuri. Je umewahi jiuliza ni kwa nini? Licha ya kwamba hatuwezi kupinga uwezekano wa kuwa wamezaliwa hivyo, lakini ukweli kwamba kukimbia kunasaidia kukakamaza na kuyapa muonekano mzuri makalio, hauwezi pia kupingika. Wako kina dada wengi ambao makalio na sehemu zao za nyonga zinazidi ukubwa wautakao. Hii hutokana na kuongezeka kwa mafuta mwilini, hususani sehemu za makalio. Kukimbia ni zoezi ambalo husaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza mafuta na hivyo kuyapa makalio umbo zuri. Waweza kukimbia nje au kwenye mashine ya kukimbilia, kwa kasi ya kawaida. Ni vizuri kukimbia kwa muda usiopungua dakika 30 kama unataka kupunguza mafuta. Hii pia inasaidia kuongeza mzunguko wa damu na kuufanya moyo wako kufanya kazi vizuri. Fanya hivi mara tatu au zaidi kwa wiki.
KuKimbia
Kukimbia husaidia kupata umbo bora
Kwa kifupi mazoezi yanaweza kabisa kusaidia kupata umbo na ukubwa wa makalio unayoyataka. Mchanganyiko wa kukimbia, na mazoezi ya sehemu ya chini ya mwili ni njia nzuri ya kukusaidia kupata makalio ya ndoto yako. Ukijumlisha na lishe bora hakuna kinachoshindikana katika mwili wako. Na ni dhahiri kwamba, kwa mazoezi, wakati unatengeneza muonekano wako, ni wakati huo huo unatengeneza afya yako
Asante kwa kuwa pamoja..
Share:

HAYA NDIO MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI,SOMA HAPA.

UTAMU KITANDANI APP
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.
Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.
Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la watu wapenda ngono.
Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika.
Twende pamoja katika kutazama madhara hayo kwa kina.
KUPOTEZA HAMU YA TENDO.
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.
Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.
Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
KUUJAZA MWILI TAMAA KUBWA.
Tabia ya kufanya mapenzi mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo kumfanya mhusika asiwe mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya naye mapenzi na kwa wakati gani?
Watu wanaojiendekeza katika kufanya mapenzi mara kwa mara ndiyo wale ambao kila wanayemtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake.
Hawa ndiyo wanaobaka, kusaliti ndoa zao hata kwa watumishi wa ndani au kufanya mapenzi na watoto wao wa kuwazaa kwa vile akili zao huwa zimeathirika kwa tamaa ya mapenzi.
Unapokuwa mtu wa kufanya mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wa kuzuia tamaa yako. Mumeo akiondoka siku mbili unatamani kuwa hata na houseboy ili akukate kiu ya penzi.
KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO.
Raha ya tendo hutegemea sana hisia iliyokuzwa kutokana na mapenzi sahihi na kiu ya kufanya mapenzi, hivyo basi ukiwa mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.
Kama ni mapenzi utakuwa unayafanya kwa mazoea tu na msisimko wako utakuwa mdogo!
KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI.
Madhara mengine yanayoweza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili.
Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi, hivyo kuufanya mwili uchoke. Aidha lishe inapokuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.
Sambamba na hilo mbegu za uzazi zinazotoka kwa wanaume wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.
KUPATA MAGONJWA.
Kama tulivyojifunza kuwa watu wanaofanya mapenzi mara kwa mara huwa na tamaa na hujikuta wanafanya mapenzi holela ambayo huweza kuwasababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi, lakini ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wanawake huwafanya waishiwe msisimko na kuzifanya sehemu zao za siri kutotoa ute unaoweza kuwakinga na michubuko wakati wa kujamiiana na hivyo kuwasababishia michubuko itakayoweza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.
Share:

UMUHIMU WA MAZOEZI WAKATI WA UJAUZITO

UTAMU KITANDANI -AFYA
Kufanya mazoezi wakati wa ujauzito kuna umuhimu mkubwa kwa afya ya mama mjamzito mwenyewe na mtoto wake ambaye bado hajazaliwa. Wanawake wengi wanatambua umuhimu wa kula lishe bora, kuhudhuria kliniki, kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe wakati wakiwa na mimba. Lakini si wanawake wengi wanaoelewa umuhimu wa kutumia muda wao kufanya mazoezi wakati wa ujauzito. Mazoezi yana umuhimu mkubwa kiafya wakati wa ujauzito kama ilivyo kabla ya ujauzito. Kufanya mazoezi wakati unapobeba mimba kunaleta faida kubwa wakati wa kujifungua. Wakati wa ujauzito ni muhimu kudhibiti ongezeko la uzito wa mama. Kwa kujishughulisha mama mjamzito na kuwa na harakati humsaidia awe na afya bora na kumsaidia aweze kupitisha kipindi cha uchungu na kujifungua kwa urahisi zaidi. Zaidi ya kumsaidia mama asiongeze uzito mkubwa wakati wa mimba, kufanya mazoezi humsaidia mama pia kurejea katika uzito wake wa kawaida kwa urahisi baada ya kujifungua kwa kawaida au kwa uparesheni. Kwa ujumla mama mjamzito kama ambayo anavyoshauri kula chakula bora na kuwa na afya nzuri wakati wa ujauzito, hivyo hivyo hushauriwa pia kuzingatia suala zima la kufanya mazoezi na kuchunga mwili wake usiongeze uzito mkubwa. Pia kufanya mazoezi huufanya mwili utoe mada ya endorphins, ambayo husaidia kumfanya mama asipate matatizo ya kifikra na msongamano wa mawazo (emotional stress na depression).
Zifuatazo ni faida anazozipata mama mjamzito iwapo atafanya mazoezi
1. Mazoezi hupunguza maumivu ya kichwa, kukosa choo na kuvimba mwili.
2. Mazoezi huongeza nguvu na kuupa mwili stamina.
3. Mazoezi hukufanya ujisikie vizuri na kukufanya uwe katika hali ya furaha.
4. Mazoezi hupunguza maumivu ya mgongo na huimarisha mifupa ya mgongo, makalio na mapaja na kuifanya iwe na uwezo wa kuvumulia vyema uzito wa mimba.
5. Mazoezi husaidia huongeza mtiririko wa damu na hewa katika ngozi na kuifanya ngozi yako ionekane nzuri.
6. Mazoezi hutayarisha mwili wako uwe tayari kwa ajili ya kuhisi uchungu kwa muda mfupi na kujifungua kwa urahisi.
7. Mazoezi hufanya mwili wako urudi upesi katika muonekano wake wa kawaida baada ya kujifungua.
8. Mazoezi humsaidia mama mjamzito apate usingizi kwa wepesi na kulala vyema.
Hata hivyo mama majamzito anashauriwa kabla ya kuanza kufanya mazoezi apate ushauri wa daktari na kuhakikisha kuwa hana matatizo ambayo kwa kufanya mazoezi pengine yakahatarisha mimba yake. Kwa wale waliokuwa wakifanya mazoezi kabla ya kubeba mimba wanashauriwa kuendelea na mazoezi yao lakini kwa kuwa waangalifu na kwa kiwango kidogo. Lakini kwa wale ambao walikuwa hawafanyi mazoezi hawaruhusiwi kufanya aina zote za mazoezi wakati wa ujauzito. Mazoezi kama vile kuogelea (kwa wale anaojua kuogelea), kutembea na yoga ni miongoni mwa mazoezi yanayoshauriwa wakati wa ujauzito. La muhimu ni mama mjamzito kutokaa tu na kujiepusha na uvivu na pengine kwa kufanya shughuli zake tu za kawaida ambazo mama huwa anazifanya nyumbani kila siku ikawa inatosha kuwa mazoezi yake na akaongeza kwa kutembea kidogo ( walking) kila jioni. Kutembea ni mazoezi salama na rahisi kwa kila mama mjamzito na yanayojulikana na kila mtu na kuweza kufanywa mahala popote. Ni bora kama unaweza fanya mazoezi na mwenza wako, rafiki au hata ndugu na jamaa yako ili uweze kufurahia zaidi mazoezi hayo. La muhimu ni kufuata maelekezo ya daktari kwani si kila mama mjamzito anaruhusiwa kufanya mazoezi wakati wa ujauzito kutokana na sababu tofauti. Baadhi ya mazoezi ambayo yana madhara kwa afya ya mama mjamzito na kwa mtoto hayaruhusiwi kabisa kufanywa wakati wa ujauzito. Mazoezi hayo ni kama vile mazoezi ya aerobic, ski, kupanda mawe, kupanda farasi na mengineyo kama hayo. Iwapo unaishi katika miji iliyoendelea basi unaweza kupata kwa urahisi vituo maalum kwa ajili ya kufanyia mazoezi mama wajawazito, na katika vituo hivyo kwa kawaida wakina mama wajawazito hukusanyika na kufanya mazoezi kwa pamoja. Lakini kama uko katika miji ambayo vituo hivyo hakuna usife moyo, na jitahidi kufanya mazoezi hayo peke yako huku ukishirikiana na familia yako.
Makala hii inaendelea...
Share:

KAMA WEWE NI MAMA NA UNA MTOTO WAKO AWE WA KIKE AU WA KIUME HAKIKISHA UNAFAMNYIA HILI ANGALAU MARA MOJA KWA WIKI.

UTAMUZAIDIAPP

Kama ni Mama na una mtoto wako, awe ni wakike au wa kiume, ambaye bado ni mdogo hajajitambua, hakikisha angalau unemuogesha mara mbili kwa wiki. Narudia hakikisha unamuogesga mara mbili kwa wiki, katika kumuogesha angalia vitu vikubwa viwili. Kwanza kabisa angalia sehemu zake za siri, kwa mtoto wa kike angalia nyuma na mbele, narudia angalia nyuma na mbele.

Angalia kwanza kama pamekaa kawaida, kwamba kama pamepanuka sana au la, ngalia kama pana michubuko ya aina yoyote, angalia kama pana mapele ambayo hayaeleweki. Pili angalia michubuko katika mwili wake, makovu na alama nyingine katika mwili wa mwanao ambazo si za kawaida, labda kufinywa, makovu ya kudondoka, kuungua ungua, angalia makovu katikati ya mapaja, angalia makovu katikati ya makwapa na mgongoni.

Watoto wengi wanaonyenyaswa na wafanyakazi, kingono na watu wa kubwa wanakua wanamichubuko, wametanuka na makovu sehemu hizo. Ukiona mwanao ana michubuko isiyoeleweka halafu ukimuuliza anakuambia kuwa alidondoka, alijikata na vitu vingine basi usichukulie poa kabisa, hata kama mwanao ni mtundu kiasi gani chunguza utanishukuru baadaye.

Lakini nimesahau, hakikisha angalau mara mbili kwa wiki unafua au kukagua nguo za ndani za mwanao, hata wewe Baba fanya hivyo kama, kagua nguo za ndani za mwanao, sehemu ya nyuma na mbele, ukiona ukoko mweupe, ukiona damudamu zilizoganda basi ni dalili kuwa mwanao anadhulumiwa kingono. Hata kama upo bieza namna gani unafanya kazi ya kunawisha watu mikono mbinguni, itahitaji nusu saa tu kumjua mwanao.

Hembu #SHARE unaweza kumuokoa mtoto mmoja.
Share:

NAOMBA 'MWANAMKE' YEYOTE ASISOME UJUMBE HUU.

utamuzaidiapp
Waraka huu ni mahsusi kwa wanamume tu. Nipotumiwa kwa mara ya kwanza, ulikuwa kwa lugha ya kigeni, lakini sasa nimeuleta katika Kiswahili ukiwa na ziada ya nasaha zangu ili ujumbe ufike mbali.
Ukichunguza utagundua kwamba, kumekuwepo na kasumba kwa watoto wengi kuwatii na kuwajali zaidi mama zao kuliko baba zao. Hali hii imezoeleka kiasi cha kuonekana ni jambo la kawaida kabisa.
Baada ya kushuhudia akina baba wengi wakivuja machozi, jasho na damu kwa kufanya kazi za sulba karibu maisha yao yote ya ujana ili tu kuwahudumia mke na watoto, na mwishowe wakiishia kudhalilika uzeeni na kufa kwa vihoro, nimeona niwafunulie pazia kubwa mpate kufumbua fumbo hili. Hivyo, kama wewe ni baba au baba mtarajiwa, makinika na ujumbe huu kwa mustawa wa maisha yako uzeeni.
Ewe baba, kumbuka, miaka kadhaa ijayo mkeo atakuacha nyumbani kwako (si kwa talaka), na kuanza kuruka leo kwa bintiye huyu, kesho kwa mwanaye yule. Atakwambia ati huko anakwenda kupumzika. Lakini wewe kama mume (baba), licha ya kuwa na haki na wanao, hautoweza kufanya hivyo. Utabaki ukilinda nyumba yako na kuisubiri siku isiyo na jina, ambayo mkeo ataamua kurudi.
Sasa jitambue, wewe ni kama 'mhudumu' tu ndani ya hiyo familia unayoiita ni ya kwako. Hiyo nyumba uliyopambana kuijenga si yako - ni mali ya watoto wako na mkeo. Hata kuiuza tu huruhusiwi. Mume ni kama trekta lijengalo barabara nzuri na imara, lakini mara baada ya ujenzi wa barabara kukamilika, litaletwa gari maalumu kuja kulibeba trekta juujuu na kuliondoa barabarani - kwa madai kuwa likipita hapo litaiharibu barabara. Yaani, trekta haliruhusiwi kupita kwenye barabara liliyoitengeneza lenyewe. Hivyo ndivyo hututokea akina baba. Tunajikusuru, tunasulubika, tunaingia madeni, tunavaa nguo chakavu, nk, ili tu kuwaridhisha watoto wasome vizuri. Lakini wakishahitimu na kuanza kujitegemea, hapo ndipo umuhimu wa baba unapomalizika na umakini wao huegemea kwa mama zao. Yumkini ni mama zao ndiyo huwapandikiza chuki vichwani mwao, kwa sababu wewe umekuwa ukiwahudumia bila kuwakaririsha jitihada zako lakini mama amekuwa akitumia mdomo kuhodhi sifa zote.
Ikifikia mahala unasikia zile kauli za akina mama wengi: "Isingelikuwa mimi, usingekwenda shule!" Au "baba yako alichojua yeye ni pombe na wanawake wakati mimi nikitaabika kukuleeni!" Ujue ule muda wa kuondolewa lile trekta lililojenga barabara umewadia.
Kimsingi, mtoto atakapoanza kufanya kazi, baba huwa amekwishastafu na mategemeo yake hubaki kwa watoto. Lakini huyo mtoto aliyefanikiwa, anapofika kutembelea familia baada ya mwaka mzima, masikini baba ataambulia shilingi elfu ishirini tu - tena mbele ya mkewe, ilhali mkewe (mama) atapewa hata laki moja akiwa peke yake jikoni. Kisanga kitaanza mtoto akishaondoka. Mama atamtaka baba atoe pesa kwa ajili ya matumizi (si aliziona wakati unapewa!?). Usipotoa, utaambulia uji usio na sukari. Na ukitoa, mtatumia nyote ndani. Lakini mama yeye ataamua ale bata atakavyo, kwakuwa maamuzi juu ya pesa aliyopewa faraghani ni siri yake na shetani wake. Hii ni moja kati ya sababu za akina baba wengi kufa mapema kwa vihoro (kwani hujaona mtaani wajane ni wengi kuliko wagane?).
Kwenye maisha ya uzeeni, kila uchao mama huruka kwenda kula bata na watoto wake huko ughaibuni ilhali baba hubaki nyumbani akitafuna mihogo na kunywa ukungu. Baada ya muda mrefu kupita, mama aliyenawiri kwa kupetiwa na watoto, akirudi nyumbani huanza kumshangaa baba aliyesawajika kwa kukosa uangalizi na usaidizi. Ikifikia hapo, usishangae kusikia watoto wako wametafutiwa 'anko'. Ndiyo - mume mwenziyo.
Nakutahadharisha ewe baba mwenzangu, dunia hii iliyojaa ghururi na hadaa haina huruma kwa waume-wazee ambao hawakujiandalia mazingira ya kujinufaisha walipokuwa vijana. Sasa basi, ukijenga nyumba yako, hakikisha kila mmoja anaelewa kuwa pale ni kwako - na si kwao. Jenga biashara mapema itakayokuja kukufaa uzeeni. Simika nguzo madhubuti utakazokuja kuegemea bila kutetereka huko uzeeni. Jenga mahusiano mema na marafiki watakaokufariji kipindi wanao watakapokuwa ubavuni mwa mama yao. Kipindi hiki cha ujana ndiyo sahihi kujishirikisha kwenye jumuiya na nyumba za ibada ambako utapata matumaini na msaada wa Muumba wako kipindi uzee utakapobisha hodi.
Uzee ni mzigo mzito kubebeka kwa akina baba walioendekeza kuwaandalia maisha watoto pekee, kuliko kujihadhari na hatma za maisha yao ya baadaye. Kuchacha mfukoni na kukosa wafariji wema kati ya marafiki zako kipindi cha uzeeni, ni kama hukumu ya kifo chako. Ni suala la kusubiri tu saa ya ufu.
Zingatia haya makundi makuu matatu muhimu, utakayoyahitaji kadri unavyozeeka: familia (nduguzo), waumini wenziyo wa dini na marafiki zako wa ujanani (shuleni, kazini na mtaani).
Ewe baba mwenzangu, kubali au kataa, ukishagonga miaka 60 kwenda juu, upweke ndiyo kitu cha kwanza kitakachohatarisha uhai wako, kwani muda huo watoto uliowapigania kwa udi na uvumba, watakuwa busy kujenga familia zao kama tufanyavyo sisi hivi sasa. Ni muda huu ndipo utakapoanza kuona umuhimu wa makundi matatu niliyoyataja hapo juu.
Cha kufanya, pamoja na ugumu wa ratiba zako, tenga muda wa kwenda kusalimiana na kupiga soga walau kidogo tu na wale watakaokuja kuwa matabibu wako wa msongo wa mawazo wakati wa uzeeni. Usipowaandaa leo, hawatopatikana kesho. Wanaoshuhudia jitihada zako hivi leo, ni marafiki hawa wa ujanani - hao ndiyo watakaokuja kukutetea kwa kusadikisha ukweli dhidi ya hila na ngendembwe kwamba uliendekeza kuuchapa ulabu na wanawake badala ya familia.
Maendeleo mazuri ya wanao yasikuhadae ukaanza kujipiga kifua, mbele ya jumuiya na marafiki ambao siku si nyingi utawahitaji kukufariji kipindi hao wanao watakapokuwa busy kujenga familia zao - ilhali muda mchache watakaobakia nao wakiutumia kwa mama zao.
Popote mlipo akina baba wote gongeni cheers huku mkisambaza ujumbe huu kama sehemu ya kwanza ya maandalizi.
***IMEANDIKWA NA Maundu Mwingizi (MwanaBalagha).
Share:

MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI. BY DK.HABELNOAH


1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na
kikohozi.
2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri
yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio
(allergy).
3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa
kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi
mwilini.
4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango
cha tatizo la sukari mwilini.
5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye
matatizo ya nguvu za kiume.
6. Pia inatumika kama scrub ya uso.
Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi
na inasaidia kuondoa uchafu usoni.
7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa
ya kuponyesha tumbo la kuhara.
8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia
majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri
kwa kupunguza maumivu na kukulinda na
maambukizi ya bakteria.
9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri
yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na
mdudu na kupunguza maumivu.
10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina
uwezo wa kutibu tezi dume.
11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi
majani ya mpera yana uwezo mkubwa wa kutibu
chunusi.
12. Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza
uzito mwilini na kuzuia uharibifu sukari ndani ya
mwilini.
13. Majani ya mpera yanajaza nywele na
kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la
kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha
kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka
chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya
nywele zako.
14. Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi,
maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera
na utaona maajabu ya majani haya.
15. Chukua majani ya mpera saga vizuri mpaka
yawe laini kabisa ongeza na maji kidogo kisha
tumia kupaka usoni kama scrub inatibu ngozi
inayoanza kuzeeka mapema.
16. Chai ya mpera inasaidia kwa kutibu
mvurugiko wa tumbo.
Pamoja na majani hayo kuwa msaada wa kutibu
maradhi mbalimbali , halikadhalika juisi ya
mapera nayo husaidia sana kutibu mgolo au
bawasiri, figo na hata kuondoa mafuta katika
moyo.
Kimsingi mti wa mpera karibu kila sehemu yake
ni tiba kwani hata mizizi yake inapochemshwa na
kutumia kwa kunywa huenda kuwasaidia
wanawake wenye matatizo ya hedhi au wenye
matatizo ya kutokwa na maji yenye harufu
mbaya sehemu zao za siri.
AHSANTENI SANA……………
Usiache ku-SHARE na wengine wapate elimu hii.
Imeandikwa na DK.HABELNOAH
Share:

KWA KIJANA ALIYEATHIRIKA NA UFANYAJI WA TENDO LA KUJICHUA (PU-NYETO) MDA MREFU SOMA HAPA.


nawasalimu wote katika namna ya upendo mkuu wa Kristo.. Vijana wengi hivi Leo wa kanisani wamekuwa wanajihusisha sana na vitendo vya kujichua (puny-eto) kwa kisingizio kuwa wanaepuka dhambi ya uzinzi na mimba zisizotarajiwa, na kwa sababu hiyo vijana hao wanafanya vitendo hvyo kwa mda mrefu na kujikuta wakiingia kwenye ndoa wanajikuta mambo tayari yameshaharibika., imekuwa kawaida kusikia vijana kadha wa kadha waliokuwa wakijihusisha na upigaji puny-eto wa mda mrefu wakihangaika na tatizo kubwa la kulegea kwa dhakari zao na kila wakitaka kushiriki tendo la ndoa wanashindwa, wengine wanajikuta dhakari zao haziwezi tena kurudia tendo la ndoa kwa Mara nyingine tena na tena, wengine dhakari zao zinakuwa dhaifu kiasi kwamb zinawahi kufika mshindo na kuamka tena inakuwa mtihani, wengine dhakari zao ni dhaifu kiasi ya kwamba zinalala katikat ya tendo la ndoa.. sasa nisikilize kwa makini km na ww ni miuongon mwa humo basi ungana nami katka tiba hii...
MIZIZI YA MIGOMBA + VITUNGUU SWAUMU.
chukua mizizi ya migomba ya aina yeyote karibu nawe, ichukue ya kutosha saizi yako uitakayo.. chukua na vitunguu vyako swaumu weka pembeni..
Safisha vizuri miziz yako ya migomba, utajua mwenyew utatumia njia gani ya kusafisha ila safisha toa uchafu uchafu wa kweny mizizi.. menya vitunguu vyako swaumu.. vitunguu swaumu utajikadiria tu hata viwili sio mbaya kulingana na uwingi wa mizizi yako ya migomba uliyoichukua.
ukishamaliza hapo hebu chukua vyote kwa pamoja tia kwa sufuria yako, kulingana na uwingi wa mizizi yako hakikisha km n maji mfano umetia Lita 5 basi ichemke mpk ibaki Lita 3 yaani 1/3 ya maji inabidi iteketee kwa sufuria.. km umeweka Lita 3 basi ichemke ibaki Lita 2.. nadhan umenielewa vizuri hapo..
epua maji yako weka pembeni yaache yapoe kabisa.. yakishapoa yachuje vizuri.. utajua mwenyew utachuja kwa namna gani..
yatumie maji hayo uliyoyachuja sasa.. asubh tumia glass yako moja, mchana moja na jioni moja.. Fanya hvyo kwa siku 10 mfululizo utakuja kunishukuru baadae..
inatibu kabisa kwa mtu aliyeathirika na kujichua mda mrefu, maan inazibua mirija yote ya damu iliyoziba, inaamsha misuli iliyolala na kuharibiwa kwa kujichua mda mrefu, inaongeza kiasi cha mtiririko mzuri wa damu huko kwa dhakari.. dhakari yako itarudi km uko na 18 years.. haitalala lala tena hovyo, utakuwa na uwezo wa kurudia tendo ukiwa na mkeo na pia utachelewa kufika kileleni..
NB: kwa kijana ambaye hujaoa tumia hiyo tiba huku ukisema kuwa ww kujichua sasa tena basi mwisho, utaacha maisha yako yote na hakika ukijakuoa hutaweza kuona hayo madhara ya uliyokuwa unajichua kwa mda mrefu... uliyeko kweny ndoa njoo unishukuru baadae... kingine acha zinaa.. oa, mrudie Mungu.
UTAMUZAIDIAPP
Share:

SIMULIZI:NILITAFUTA UJAUZITO KWA MIAKA MINGI HADI NILIPOIJUA SIRI HII!


Naitwa Magreth. Nina umri wa miaka 32 sasa. Nimeolewa. Mwaka wa 8 sasa.
Story ni ndefu lakini kwa kifupi sana ni kuwa nimepitia changamoto kubwa sana katika ndoa kwa sababu ya mtoto. Nadhani mnaweza kuhisi ni kwa nini. Kitanzania si unajua mtu ukiolewa ee. Maneno yanakuwa mengi ukiwa hujapata mtoto.
Mwanzo haikuwa shida. But ilipofika miaka 3 ikawa changamoto. Nilijaribu njia nyingi. Nilipata ushauri na "matibabu" kadhaa hospitali lakini sikufanikiwa. Miaka ikazidi kwenda. Furaha nikawa sioni. Hata tendo la ndoa nikawa kiukweli silifurahii tena. Licha ya kuishi maisha nayoweza kusema ni mazuri kiukweli lakini kukosa mtoto kulinisononesha sana. Nililia. Niliomba sana. Miaka 7 ya ndoa ilipofika ukiingia wa 8 dah. Nikaanza kukata tamaa!
Lakini miezi michache iliyopita nikaona makala moja Instagram ikiongelea changamoto 7 kuu zinazoleta shida kwenye kupata ujauzito. Nikawa interested kusoma. Nikasoma kwa kina.
Nikakuta wanaeleza kuwa kuna sababu NYINGI SANA za mwanamke kutoshika ujauzito pale anapohitaji. Zingine ziko kwake zingine kwa mwanaume. Kwa mfano kama mbegu za mwanaume haziwezi kutungisha mimba hapo hata mwanamke awe vizuri kiasi gani ujauzito hautuaingia. Au kama mwanaume hata uume kusimama ni kwa ULEGEVU mkubwa na kwa taabu. Mwanaume husika itabidi ajue shida nini na atatue tatizo ndipo mambo yatatiki.
Lakini kwa upande wa mwanamke kuna sababu NYINGI ZAIDI. Hapa ndipo walisema sababu 7 kubwa. Mojawapo ilikuwa
1. Kuvurugika kwa hormones mwilini mwa mwanamke na uke kuwa mkavu hadi tendo la ndoa linakuwa karaha. Na kwamba hapo anahitaji kurutubisha mwili ili apate #libido (hamu ya tendo) na ute ute ule wa kutosha. Walieleza kwa kina zaidi.
2. Mbili ni Mwili kuwa ACIDIC. Hili nilikuwa sijawahi kusikia! So nikaweka umakini. Wakasema kuwa mbegu za kiume zinahitaji mazingira yasiyo ACIDIC ili kusurvive. Acid huua mbegu za kiume (sperms). Yaani kama mbegu zikiingia ukeni na zikakutana na acid ya kufa mtu basi hazitaweza kusurvive kabisa... zitakufa haraka kweli kweli kabla hata ya kuanza safari ya kuogelea kwenda kwenye yai (sperm race)
Hivyo ni muhimu sana kwa wewe mwanamke kuhakikisha unatengeneza mazingira ya mwili kuwa ALKALINE zaidi kuliko acidic. Walitaja vyakula vinavyoweza kufanya mwili uwe acidic kama nyama, na viungo kama limao, tomato sauce (ketchup), mayonize, pilipili, mahindi, ice cream, maziwa nk.
Wakaeleza pia vyakula vya kuongeza ALKALINITY mwilini kama mboga za majani na matunda hasa vyenye rangi iliyokolea (darker coloured). Pia kuna virutubisho maalumu vinavyosaidia mno kuongeza ALKALINITY mwilini kwa haraka na kwa kiwango muafaka na hivyo kuweka mazingira rafiki kwa mbegu za kiume kusurvive na kuweza kuogelea hadi zifike kwenye ovaries.
Nilisoma sababu hizo 7 zote kwa umakini na kugundua kuna sababu 3 ambazo nilikuwa sijawahi kujua kabisa. So niliwatafuta kwa namba zao na nilishangaa kuwa kulikuwa na kama tumaini moyoni japo kwa mbali.
Nisimalize uhondo. Kifupi nilipewa ushauri wa kipekee sana. Wa kitofauti. Na kufanyia kazi mambo yale matatu ambayo nilikuwa siyafahamu huko nyuma. Mwezi uliopita nikapata ujauzito. Mume wangu hakuamini. Alirukaruka kama mtoto. Mimi mwenyewe nilishangaa sana furaha niliyonayo wanaweza kuielewa waliotafuta ujauzito kwa muda mrefu!
Natarajia nami kuitwa MAMA. Hakika kila mtu ana siku yake asipokata tamaa! Nina mengi ya kuelezea lakini muda hautoshi.
Kama umehangsika kama mimi miaka 8! Au zaidi au una michache kuliko mimi nakushauri watafute hawa wataalamu watakusaidia sana!
Share:

TATIZO LA KICHOMI NI MOJA YA DALILI ZA UGONJWA MOYO�


UTAMUZAIDIAPP
VIJANA wengi leo nyumbani Bongo wanapatwa na maradhi ambayo zamani yalikuwa ya wazee
au watu wa makamo. Maradhi haya ni kama kisukari na mstuko wa moyo.
Kichomi ni moja ya dalili za ugonjwa moyo. Kupatwa kichomi mara moja moja si vibaya.
Ukipatwa muda mrefu au kila wakti ; basi �chunguza zaidi.
Kichomi husababishwa au kinaweza kuwa.
1.
Dalili ya matatizo ya tumbo lenye asidi (acid) kuzidi
Dalili za ugonjwa wa moyo uitwao Ischemic
Jambo la kuangalia ni je?
1.
Unashikwa kichomi ukiwa unatembea?
Umeinama au umelala
Ukishakula chakula
Kama unapatwa kichomi wakati ukitembea au ukishafanya mazoezi makali ina maana kuna tatizo la damu kuingia sawasawa au kuzunguka (circulation) katika moyo.
Kama unapatwa kichomi baada ya kula ina maana kuna tatizo katika chakula unachokula. Je mlo wako una acid(uchachu) sana? Je, unakula vyakula vyenye pilipili na binzari(spices) kwa
wingi sana? Kama una kula sana vyakula vyenye asidi ina maana tumbo lako halimeng�enyui sawasawa linachoka.
Kawaida binadamu unabidi kubadili badili ulaji. Usirudie vitu fulani fulani kila siku. Mathalan usiweke pilipili katika kila mlo.
Tatizo jingine ni ulaji wa chakula chenye chumvi nyingi sana. Chumvi inakorofisha pia mzunguko wa damu mwilini.
Hasa kama hunywi maji.
Kunywa sana Maji ya Uvuguvugu yatakusaidia kuondowa tatizo la kichumi.
Share:

KWA NINI UNASHINDWA KUJUA SIKU ZAKO ZA UZAZI, HATARI NA SALAMA?


1- Ni kwa sababu ya kupata elimu ya mtaani ambayo ni ya jumla sana na ambayo ina maelezo kana kwamba kila mwanamke ana mzunguko sawa na mwingine na kwamba hautaweza badilika hata kama ukiumwa au ukipata masaibu makubwa ya msiba.
2- Ni kwa sababu umepata elimu ya darasani au vitabuni bila kufuatilia kwa makini sana uhalisia wa mzunguko wako wa hedhi na upatikanaji wa mimba
3- Ni kwa sababu huna mtu/mwalimu mwenye uzoefu wa kutosha kuweza kukufundisha vizuri na kufuatilia mzunguko wako wa hedhi na uhalisia wa dalili zako za siku za uzazi.
KUNA AINA TATU ZA MIZUNGUKO YA HEDHI
#WAKWANZA - mzunguko kamili, huu ni mzunguko wa hedhi usioyumba na haubadiliki (labda kutokee matukio makubwa ya kimaisha) mfano mtu kila mwezi anaingia tarehe 3 kwenye bleed, au kila mwezi anarudi nyuma siku 3 au kila mwezi anaongeza siku 2 mbele. HUU NI MZUNGUKO KAMILI
mfano wa mwanne mawazo
mwezi wa saba anamzunguko wa hedhi wa siku 28
mwezi wa nane anamzunguko wa hedhi wa siku 28
mwezi wa tisa anamzunguko wa hedhi wa siku 28
#WAPILI - mzunguko unaoyumba kidogo (kati ya siku 1 - hadi 4). Mzunguko huu ni ule unaoyumba kidogo lakini hauyumbi sana.
Mfano wa Asha wa Makoroboi
mwezi wa 7 alikuwa na mzunguko wa hedhi wa siku 25,
mwezi wa nane akawa na mzunguko wa hedhi wasiku 28
na mwezi wa tisa akawa na mzunguko wa hedhi wa siku 24.
Ukiangalia hapa utaona ya kwamba huu sio mzunguko kamili kama ule wa aina ya kwanza lakini ni mzunguko unaoyumba kidogo kati ya siku 1-4...
#WATATU - mzunguko unaoyumba sana lakini myumbo wake upo kati ya siku 21 hadi 35. Huu ni mzunguko unaoyumba zaidi ya siku 4 lakini chini ya siku 15.
Mfano wa Anna wa mhogo.
Yeye alikuwa na mzunguko wa hedhi ifuatayo kwa mwezi wa saba, nane na tisa
mwezi wa saba mzunguko wake wa hedhi wa siku 21
mwezi wa nane mzunguko wakewa hedhi wa siku 30
mwezi wa tisa mzunguko wake wa hedhi wa siku 33
ukiangalia kwa makini utakuta ya kwamba mzunguko huu kila mwezi uko tofauti na mwingine, lakini unazidi tofauti ya siku zaidi ya 4 lakini sio zaidi ya siku 15
AINA YA NNE NA MWISHO NI MZUNGUKO VURUGU
Huu ni mzunguko wa hedhi usiojulikana kabisa, na ambao unaweza kuwa na mzunguko wa chini ya siku 21 au zaidi ya siku 35. na miezi mingine mtu anaenda hadi siku 60 hajapata hedhi. Hili ni tatizo kabisa na cha kwanza lazima ufike hospitalini kujua nini shida yako ndio uweze kusadiwa.....
Katika hizo aina 3 za kwanza za mizunguko unaweza kuwa na mzunguko wa hedhi mfupi (siku 21-25)
mzunguko wa hedhi wa kawaida (siku 26-30)
au mzunguko wa hedhi mrefu (siku 31-35).
Point hii ni muhimu sana hasa kwa wenye mizunguko mifupi kwa kuwa ili uweze kupata mimba basi inakufaa ukisha maliza bleed tu siku zako za uzazi zinaanza, kwa hiyo unashauriwa uanze tendo la ndoa,
WENGINE PIA HUSHAURIWA WAFANYE TENDO LA NDOA KATIKA SIKU ZA BLEED KITU AMBACHO SIYO KIZURI...
Kwa elimu ya afya, ushauri na tiba....
share wapate wenzako pia
UTAMUZAIDIAPP
Share:

MWANAMKE YAJUE MADHARA YA KUVAA KOPE ZA BANDIA

UTAMUZAIDIAPP

Mapokeo ya urembo wa kisasa katika nchi zinazoendelea ni sehemu ya mchango wa urembo na mvuto tunaouona kwa baadhi ya wasichana na wanawake ambao kwa hakika unaleta hamasa ya kuangalia.
                       
Hata hivyo, urembo huu huja na hatari zake ambazo wengi wanaweza kuzichukulia poa kwa kuwa hazitokei kwa haraka ama katika muda unaoweza kutolewa ushahidi kwa sasa.

Moja kati ya urembo unaofanywa na wanawake wengi wa kisasa ni kuweka kope za bandia juu ya kope halisi, kweli wengi wanakuwa na mvuto wa aina yake wakikuangalia hasa mtoto wa kiume. Lakini hatari inayotokana na urembo huo ni kubwa zaidi ya matokeo ya muda mfupi.

Wataalam wanaeleza kuwa kope za bandia ambazo hugundishwa kwa kutumia gundi ya nywele inayotumika kugundisha nywele bandia kwa wenye vipara inaweza kuwa chanzo cha upofu wa mtumiaji.

Gundi hiyo hupukutika taratibu sana kiasi cha kutoshtukiwa na kuelekea kwenye mboni ya jicho ambayo ndio moyo wa ‘kuona’. Endapo mtumiaji ataendelea kwa muda mrefu kutumia kope hizi bandia anaweza kujikuta anakuwa na tatizo la kuona ama hata upofu wa haraka katika maisha yake ya baadae.

Hata hivyo, hatari kubwa imeelekezwa kwa maduka ama vibanda vinatumia vifaa vya bei nafuu ikiwemo gundi inayotumika. Ukwepaji wa gharama ama kutokuwa na uwezo wa kutumia gharama kubwa kunamuingiza mrembo kwenye hatari zaidi.

Kuwa mwangalifu, urembo usiwe chanzo cha kuhatarisha afya yako. Kumbuka Afya ni uhai wa mwili wako.
Share:

HII NI MPYAA KWAKO TANGU UZALIWE UMEWAHI ONA HII


WOMEN'S CORNER | JoJo The Fighter
💞chumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
💞kama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
💞chukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani
💞kutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata
💞km umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost
💞kuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva
💞ukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika
💞Ukiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
💞big g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
1
💞kuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge
KWA HISANI YA DAWA MBILI BORA
Share:

ZIJUE FAIDA SITA (6) ZA KUFANYA MAPEN-ZI KWENYE MAHUSIANO

Siri ya mapenzi ya dhati - Home | Facebook
Kufanya mapen-zi ni jambo muhimu sana katika mahusiano. Huwakutanisha na kuwaweka pamoja wewe na mpenzi wako. Mapenz-i hulifanya penzi lenu kuwa hai.
Kufanya mapen-zi ni kichocheo muhimu cha kuamsha hisia zenu za kimahaba. Hii ni mada kuu inayopendwa na huongelewa sana na wanaume pamoja na wanawake.
Ni kitu ambacho kila mtu hukifikiria hata kama hawako katika hali ya mape-nzi. Kwa kweli ni muhimu tu kama uaminifu na mawasiliano.
Kujamiiana hutofautiana baina ya mwanaume na mwanamke. Ni aina mojawapo maarufu ya kukupa furaha na kukuondolea mawazo. Pia huwaweka karibu wewe na mpenzi wako.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu kwa nini kufanya mapen-zi ni muhimu katika mahusiano.
Hukuza urafiki baina yenu na kuimarisha mahusiano.
Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapen-zi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako. Mahusiano hujawa na uchu, wapenzi hutaka furaha na kuridhika. hivyo kufanya mapen-zi na mwenza wako huchochea hisia nzito baina yenu, huburudisha na kuyafanya mahusiano kuwa bora.
Huondoa mawazo
kufanya mapen-zi husaidia kuondoa mawazo. ufanyapo mapenz-i homoni zinazokupa furaha hutengenezwa kwa wingi wilini. Kumbuka unapokuwa na furaha ndivyo unavyoweza kufanya kazi kwa ufanisi.
Huyafanya mahusiano kuwa hai.
Kujamiiana ni kitu ambacho unaweza kufanya ili kujifurahisha wewe pamoja na mwenzi wako. Hukuza urafiki na kuwa na hakika, vile vile huwafanya mujione kuwa kila mmoja anahitajika na mwenzake.
Kufanya mapen-zi ni njia nzuri ya kuwasiliana, huwafnya kupendana zaidi na kuuona umuhimu wa kila mmoja katika maisha yenu ya mahusiano.
Hukufanya uwe na usingizi mwanana.
kufanya mapenz-i hukufanya ulale usingizi mzuri. Siyo kwa sababu ya uchovu wa shughuli nzito mliyoifanya. Unapomaliza kufanya mapenz-i kemikali iitwayo ‘oxytocin’ huachiwa na mwili. Hii hukufanya kulala usingizi mzuri na wa raha.
Hukupa furaha.
Watu wanaofanya mapenz-i mara kwa mara huwa na furaha zaidi ya wale wanaofanya mara chache au wasiofanya kabisa. Vile vile hukuongezea kujiamini na kuwa na mtazamo chanya katika maisha.
Humpa furaha mwenza wako.
Kufanya mapenz-i huwafanya wanaume wanapokuwa na msongo wa mawazo, kujisikia furaha. Kama uko kwenye mahusiano na huwa hamfanyi mapenz-i mara kwa mara, kuna hatari kuwa mwenza wako hapati furahaa 100%. Hivyo kama hamtofanya mapenz-i, kuna uwezekano wa yeye kwenda kutafuta mtu mwingine wa kufanya nae mapenz-i. hivyo ili kumfurahisha ni vyema muwe mnafanya mapen-zi mara kwa mara.
Share:

*DHAMBI YA KUANGALIA PICHA ZA NGON-O*

UZURI SIYO KIGEZO KIKUU, USIDANGANYIKE! | Mtanzania
Picha za uc-hi hazikutengenezwa kwa lengo la kukupatia burudani wala kukupatia furaha; zilikusudiwa kwa lengo la kuwaangamiza kabisa watengenezaji na watazamaji wake. Humjaza mtu husika hashiki na tamaa kali ya kimapezi na humfanya aendelee kutaka kuangalia zaidi na zaidi. Matokeo yake ni kwamba huibuka ndani yake vitendo viovu sana na ukatili wa kimapenzi, huelekea katika njia ya uangamivu wa hakika kwa sababu ya kushindwa huku kujitawala.
Watu wasio na akili hupenda kutazama picha na video hizi bila kujua kuwa wanaalika mapepo ya tamaa ya mwili ndani yao wenyewe. Ni njia kuu kabisa ya kualika mapepo katika maisha ya mtu. Wala mapepo hawahitaji kuwa na funguo za ziada kuingia ndani yako. Wanachohitaji tu kufanya ni kukushawishi uangalie picha zao chafu hata kama ni kwa kiasi kidogo tu, na hapo ndipo tayari umekuwa umewaalika katika maisha yako! Utaendelea zaidi na zaidi, na kwa wengi huwa jambo la kawaida; japo utatamani kujinasua, lakini hutakuwa na nguvu hizo kwa sababu ya kushikiliwa na nguvu za giza! Unapokaa mwenyewe kuangalia picha hizi, hauko peke yako!
Huwa umezungukwa na malaika waovu wakitazama udhaifu wako ili waendelee kukushambulia na kukushinikiza zaidi na hatimaye kukuangamiza kabisa. Wanapogundua udhaifu wako katika eneo ili, hapo ndipo huendelea kukushambulia na kufanya iwe ngumu sana kwako kushinda. Ndiyo maana watu ambao wanajihusisha katika vitendo hivi, hata ingawa hufanya maamuzi ya mara kwa mara kuacha na kujiepusha nayo, hujikuta tu wamerudia dhambi ileile tena na tena!
Lakini habari njema ni kwamba, bado unaweza kushinda na kuutawala mwili wako vyema kwa uwezo wa Mungu! Anasema, “Mtiini Mungu; mpingeni Shetani, naye atawakimbia.” Kwa njia ya kumtegemea Yeye na kuwa na nidhamu ya maisha yako, kwa njia ya kufunga na kuomba, unaweza kuwa mshindi kabisa. Vinginevyo, mapepo hayo ya kishetani yatakuteka kabisa na kuwa kikwazo katika njia yako ili kukunasa, na kwa kweli utakuwa ukipuuzia mambo ya msingi ya kimaisha, na kila wakati utapenda kupoteza muda na rafiki wasiojali ili kuendekeza tamaa za mwili. Ndio maana maisha ya watu wengi, hasa vijana, pamoja na kuwa wana uwezo mkubwa sana wa kiakili, wana fedha, lakini maisha yao hayana maana—wanaishi bila kuridhika na wanatumikia mwili wao kwa ubinafsi, hadi wanapofikwa na mauti ya ghafla bila wao kujua, na huo ndio mwisho wa maisha yao! Wamepoteza nguvu, akili na ubora na manufaa yao wakati ambapo wangeweza kuwa watu wanaoheshimika na wenye kuleta faida na maendeleo bora katika jamii na taifa.
Tunapaswa kutambua kuwa waigizaji na wale wanaojihusisha kuangalia picha na video za ngono hutumiwa na mashetani ili kujihusisha katika uovu na ufuska mkubwa sana uliopita kiasi huku wakidhalilisha na kufedhehesha miili yao. Wanaume waliooa ambao wametekwa na uraibu wa ponografia hujikuta kwamba ni vigumu sana kufanya mapenzi bora na wake zao, na kuridhika; vijana ambao hawajao pia hujihusisha katika vitendo vingine viovu zaidi kama vile kupiga punyeto, nk.
Ni dhahiri kwamba madhara ya picha za ngono ni makubwa sana. Channel za televisheni, mitandao, magazeti na kadhalika, vinavyohusika na vitu hivi vina lengo moja tu la kuharibu kabisa maisha yako, na hatimaye kukuangamiza bila wewe kufahamu. Sehemu ya kubwa ya uovu duniani hutokana na kujihusisha na vitendo hivi. Ni hatari vilevile kuangalia picha na mikanda au video za ngono hata kama umeoa au hata kama uko na mkeo. Mungu kamwe hawezi kuruhusu machukizo hayo ya kishetani kwa sababu anajua huangamiza moja kwa moja uhusiano bora wa kimapenzi kati yenu, huvuruga akili na kuharibu na kuangamiza maisha yako bila wewe kujua. Hukufanya uwaone jinsi ya kike kama vyombo vya ngono! Na mbaya zaidi, ni dhambi kuu dhidi Yake.
Kwa hiyo wapendwa hebu fanya uamuzi wa dhati tangu sana kwamba unahitaji kukombolewa kutoka katika picha na video za ngono, wakati huu ambapo bado ungali na nafasi ya kutubu na kufanya mabadiliko, kabla maisha yako hayajaangamizwa. Baadhi ya watu huthubutu kuingiza picha chafu hata kwenye mitandao ya kijamii. Usifungue video hizi! Kwenye mtandao wa WhatsApp zima settings za autodownload ili picha au video zikiingia zisiweze kupakuliwa moja kwa moja. Mtahadharishe mhusika juu ya madhara yake. Wabloku watu wa namna hiyo kwa sababu hawakutakii mema na wanakupeleka jehanamu! Waonye vijana na wapendwa wanaoelekea katika hatari hii bila kujua. Jihusishe katika mambo mema yanayojenga akili na kuleta tija katika maisha yako.
Mungu anatuambia leo: “5 Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, *uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; 6 kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.* 7 Katika hayo ninyi nanyi mlitembea zamani, mlipoishi katika hayo. 8 Lakini sasa *yawekeni mbali nanyi haya yote,* hasira, na ghadhabu, na uovu, na matukano, na matusi vinywani mwenu. 9 Msiambiane uongo, kwa kuwa mmevua kabisa utu wa kale, pamoja na matendo yake; 10 mkivaa utu mpya, unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa na mfano Wake Yeye aliyeuumba.” Wakolosai 3:5-10.
“Wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi; bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa, na viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki.” Warumi 6:13.
*TAFADHALI SHARE UJUMBE HUU KWA WATU WENGI NA MARA NYINGI KADIRI IWEZEKANAVYO ILI KUOKOA MAISHA NA ROHO ZA VIJANA WENZETU WAPENDWA!!!*
Share:

NJIA ZA KUPUNGUZA AU KUTIBU TATIZO LA KUTOFIKA KILELENI

African+couple+love Images, Stock Photos & Vectors | Shutterstock

Baada ya kupeana mabusu na romance hadi kila mmoja anakuwa amesisimka kiasi cha kuwa tayari kwa kurushwa hadi kufika kileleni, ghafla baada ya msuguano mmoja tu mwanaume ameshamaliza na tayari hoi anageuka na kulala zake usingizi mzito wakati huohuo bibie bado kwanza ndo alianza kupata raha na sasa ameachwa kwenye mataa anazubaa akiugulia kukosa raha yenyewe.

Jambo la kuhuzunisha ni kwamba baadhi ya wanaume huweza kufika kileleni haraka mno; dakika chache tu baada ya kuingiza uume kwenye uke, ingawa hii humpa mwanaume raha ya ajabu hata hivyo anaweza kumwacha mke wake katika kukatishwa tamaa na kutoridhika hasa kama ni mwanamke ambaye kufika kwake kileleni hutegemea msuguano (thrusting) wa uume kwenye uke wake.

Kawaida mwanaume huweza kuwa tayari kufika kileleni kila baada ya mipigo 50 (kuingiza na kutoka ndani ya uke) [thrusting] na wakati huohuo inachukua zaidi ya dakika 10 kwa mwanamke kufikia kileleni (siyo wanawake wote wengine huwahi).

Mwanaume anapokuwa hana uwezo wa kujizuia kukojoa (ejaculate) mapema huweza kukosa kiwango cha raha ya kutosha anayostahili yeye mwenyewe na mke wake pia, vilevile hukosa raha halisi ya kuwa ndani ya mke wake kwa muda mrefu (mwili mmoja) na hapati zile hisia za ukaribu (intimacy), mapenzi na muunganiko ambao huweza kuwaunganisha wawili wapendanao kupitia tendo takatifu la ndoa ambalo Mungu alilifanyia ubunifu kwa ajili ya mwanaume na mwanamke duniani kuwa pamoja na kufurahia uumbaji wake.

Wanawake wengi huhitaji mume kukaa ndani ya uke kwa muda mrefu unaotosha kwa kadri wanavyohitaji raha na utamu wa hii zawadi ya mwili.

Na njia sahihi ya kuweza kufanikisha hili ni pale tu mwanaume anapokuwa na uwezo wa kuhimili kutokojoa mapema na kuwa na uwezo wa kuwa na hiari wakati gani aweze kukojoa au kutokukojoa. 
Fikiria raha inayopatikana kwa mwanaume ambaye anaweza kumhakikishia mpenzi wake anapata raha kwa muda anaoutaka maana tendo la ndoa ni haki yake ya msingi ya kuzaliwa. 
Kwa kujifunza unaweza kuwa na uwezo wa kufika muda mrefu vyovyote unataka na kukupa ridhiko la kimapenzi wewe pamoja na mpenzi wako.

Mwanaume anapokuwa kwenye mahaba asipokuwa makini huweza kufika mahali mambo yakawa matamu kiasi kwamba hakuna kurudi nyuma (no point of return) kwa maana kwamba lazima mwanaume akojoe, hana chaguo bali kumaliza hata hivyo kumbuka mke wako ni muhimu pia na mwitikio wa mapenzi kati yako na yeye ni tofauti, ili kumtanguliza yeye unahitaji kufanya kitu nacho ni kuthibiti kutowahi kujokoa kabla yeye hajaridhika.


Habari njema ni kwamba mwanaume yeyote pamoja na wewe unayesoma unaweza kuwajifunza na kuwa mwanaume anayeweza kufika kileleni wakati anaotaka yeye.

Naamini ni ndoto ya kila mwanaume kuwa mzuri katika mapenzi na kuhakikisha mke wake mpenzi anapata kile anastahili wakiwa faragha na zaidi kuweza kumfikisha mwanamke katika kiwango cha juu kabisa cha raha ya mapenzi ambayo ni ndoto ya binadamu yeyote duniani ambaye ana hisia kamili za kimapenzi.

Je, nini kifanyike kuweza kuthibiti kumaliza mapema?
Share:

Popular Posts

Blog Archive

Copyright © UTAMU KITANDANIDESIGNED BY TEETOU