πchumvi ikizidi kwenye wali weka kiazi mviringo katikati kikiwa kimemenywa chumvi itapungua.
πkama choo chako, kina harufu, ya mkojo na huna dawa washa kiberiti chooni harufu itakwisha
πchukua ganda la limao lichome na vipisi vya karafuu weka kila pembe ya chumba mbu utawasikia kwa jirani
πkutoa harufu kwenye wali uliongua weka kipande cha mkaa harufu ya kuungua itakata
πkm umepika mchuzi upo maji maji yaani mwepesi labda maji yamezidi chukua kiazi kikune na cha kukunia nyanya weka chuzi litakuwa rost
πkuivisha maharage faster chukua maji yalochemka tia maharage weka kwenye chupa ya chai funga kesho mimina kwenye sufuria pika nusu saa harage litakuwa lishaiva
πukipika mchuzi vitunguu vikiungua weka sukari kidogo harufu ya kuungua haitasikika
πUkiamaliza kuosha vyombo still wire iweke kweny maji haiharibiki utaendelea kutumia kesho
πbig g ikiganda kwenye nguo weka kweny friza ikiganda itatoka kirahisi
1
πkuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge
1
πkuondoa harufu ya uvundo kwenye fridge weka baking soda kwenye kikombe na maji kidogo weka kwenye fridge
KWA HISANI YA DAWA MBILI BORA